The Who
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 527
- 878
Basi angalia vizuri atakuwa na bwana ake
Hizi ni ramli sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi angalia vizuri atakuwa na bwana ake
Pika, ukifika kula nikaribishe!Ngoja nimalize kupika nije hapa....naogopa kuunguza chakula ndio maana nakuja kwa kuvizia mkuu.
Karibu tupike
Dawa ni mbili tu! Ya KWANZA uwe na pesa!! Ama uwe na mvuto! Kujiamini kwa "Ukweli" kunakuja pale unapokuwa na vitu hivyo! Ili uwe 'magic man' basi uwe na vyote vitatu kwa mpigo!! Lazima uhamishwe mtaa!!Kwani demu anapomuona mwanaume mara ya kwanza anakuwa anajua hana pesa. Kuna jamaa kibao hawana pesa lakini wanachukua watoto wakali. Siri kubwa kujiamini tu
Mungu wetu, ndiye pekee mwenye uwezo wa kujibu kwa moto, lakini siye wanaume tunao uwezo wa kujibu kwa M pesa!Ni mekwama master kila nnacho muongelesha hajibu
Hapana....naamini katika mapenzi ya kweli.
ila siamini katika mapenzi bila pesa mkuu
Dawa ni mbili tu! Ya KWANZA uwe na pesa!! Ama uwe na mvuto! Kujiamini kwa "Ukweli" kunakuja pale unapokuwa na vitu hivyo! Ili uwe 'magic man' basi uwe na vyote vitatu kwa mpigo!! Lazima uhamishwe mtaa!!
Hii ni ishara kuwa kuna tatizo la kutokujiaminiTafuta pesa kwa bidiii jitaidi kufanya mazoezi ili mwili wako usiwe kama wa lemutuz
Akiyamungu kusumbuliwa na hawa mademu utasikia kwa wenzio tu
Sawa.Pika, ukifika kula nikaribishe!
SwadaktaaaaPoints nimeilewa vizur tu na ndio uhalisia was mapenzi yetu
Mtoto wa kike yoyote kidume chake kikiwa na pesa basi anakua kama kipofu haoni kasolo hata kama jamaa anamwili kama was lemutuz huwa haoni
Lakn pesa zikiisha ndo anaanza kushutuka eeehe kumbe jamaa anamuonekano mbaya maneno konki mchawi pesa
Usiwakatishe wenzako tamaaTafuta pesa kwa bidiii jitaidi kufanya mazoezi ili mwili wako usiwe kama wa lemutuz
Akiyamungu kusumbuliwa na hawa mademu utasikia kwa wenzio tu
Sio kweliNaomba ieleweke Once umezaliwa na disability ya udomo zege nakuhakikishia hutaweza tongoza demu yoyote
Ndio ukwel huo labda uwe na pesa bila hvyo tabu lazima uipateSio kweli
Nimekwama mkuu...nimemsalimia nae kaitika fresh..baada ya kusalimiana ananiuliza niseme shida yangu.....hapa niingie na gia gani au ninyooke moja kwa moja kuwa nakupenda? Msaada maana nimemwambia naongea na cm ananisubiliaMojawapo ya vikwazo tunavyokumbana navyo wanaume tunapokuwa tunammendea mwanamke ni jinsi ya kumuanza mwanamke. Utamuanzaje. Sio siri hapo ndipo huwa kuna mtihani mkubwa sana.
Hivi unakumbuka siku ile ukiwa bar, ukamuona mtoto mkali hatari. Udenda ukakutoka mwanaume. Ukijiuliuza utaanzaje ili angalau upate namba yake. Ili umcheki baadae. Lakini mara tu unapoamua kumfuata, unaona miguu yote inakuwa mizito. Moyo unakwenda mbio, kifua kinakaribia kupasuka. Na hata ukijatahidi sana kwenda kumfuata. Utaishia kumuuliza hivi huko kwenu mvua imenyesha?.
Unapomuona mwanamke unakuwa na hofu na maswali mengine. Unakuwa unafikiri sijui hata vutiwa na mimi, labda ana bwana mwingine, au atanipiga kibuti.
Tatizo lako kubwa ni kwamba hauna confidence. Haujiamini. Fullstop.
Unakuwa unafikiri labda huyu mwanamke atakuona huna sifa anazotaka, hauna gari nzuri, hauna six pack. Ndugu yangu mchawi mkubwa ni wewe mwenyewe.
Ufanye nini sasa
1.Unapomuona mtoto mkali, hakika unakuwa na confidence. Jiamini. Wanawake wote wanapenda wanaume wanaojiamini. Kwa sababu wanajua watuwa salama. Ukibabaika ujue utamkosa huyo mtoto.
2.Unapomuona mtoto mkali tulia, usipapalike, usiongee kama unafukuzwa. Usibane sauti yako. Usiongee kwa kusita sita. Utahitaji kufanya mazoezi ya jinsi ya kutumia sauti yako.
Toka nenda barabarani. Fanya mazoezi. Ukimuona mwanamke mfuate. Msalimie. "Mrembo mambo vipi" endelea. Ongea kwa kujiamini. Ukikwama rudi hapa niambie umekwama wapi.
Kazi ni kwako.
Huwezi kuingia na gia hiyo. Muulize kama ana haraka sana. Kama ana haraka ni muda wa kuomba namba ya simu, kama hanaNimekwama mkuu...nimemsalimia nae kaitika fresh..baada ya kusalimiana ananiuliza niseme shida yangu.....hapa niingie na gia gani au ninyooke moja kwa moja kuwa nakupenda? Msaada maana nimemwambia naongea na cm ananisubilia
Mojawapo ya vikwazo tunavyokumbana navyo wanaume tunapokuwa tunammendea mwanamke ni jinsi ya kumuanza mwanamke. Utamuanzaje. Sio siri hapo ndipo huwa kuna mtihani mkubwa sana.