Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi

Na mwanamke anayejielewa kuliko kumsaliti mumewe hata Kama Kuna gumu lililoshindikana ni heri amuache mume aende zake nae atulie asubiri Qadar yake sio kuchepuka
Hahaha umenifurahisha, ni mawazo mazur lkn hamna mwanamke atakayeweza yatekeleza.

Situnawaona uku Duniani
 
[emoji28][emoji28][emoji28]hichi kitakuwa kimechanganyika sukari na chumvi kwa pamoja ..

Sasa chako kama hakuna sukari basi kina chumvi ya mawe ile ya Ruth[emoji28][emoji28]
Hahahahaha chiz sana weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenishinda
 
Hahaha umenifurahisha, ni mawazo mazur lkn hamna mwanamke atakayeweza yatekeleza.

Situnawaona uku Duniani
Mnayaona kwa wenye akili nusu

Mwenye timamu zake mmeshindwana kuelezana na kurekebishana, mnaachana ili kila mtu afanye kwa Uhuru linalompendeza na analoliamini.

Moto hauzimwi kwa moto
 
ngoja nikupe mfano... Kuna wanawake Dini zao zinaruhusu Waolewe watatu mpaka wanne ...sio???.

Sasa basi, kama unadhan ni rahisi mwanamke kumuacha mumewe sababu kama hiyo hahahaha

Mf mzur, wee ni muslim?? Ukigundua jamaa wako anachapa nje, ukamuuliza akakuambia anataka amfanye mke wa pili??

Utamuacha????.... Je Wewe una akili nusu???

Ndio maana nmekuambia ivi, una mawazo mazuri lkn HAYATEKELEZEKI KWA WANAWAKE WA TANZANIA HAPA.

Sasa vivo hivo, kwa mwanamke anayechapwa nje !!!. hawezi kirahis rahis kuachana na Ndoa yake sababu anamchepuko.

atakua na wivu kwa mchepuko wake, atampenda sana, lkn Atajitahidi Ndoani aendelee kuwemo.
 
Kwa unavyowaza hata nikikujibu najichosha tu

Basi endelea na mipango ya kula wake za watu wasiojitambua
 
Utakuta Kuna kajamaa humu kataenda kaanze kuongea kwa kutawanya mikono na kujipiga piga kifua eti kaopoe mke wa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaaa umenipa njaaaa

Ngoja nile tena hahahahahahhaha kmmk
 
Back
Top Bottom