Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 182
- Thread starter
-
- #21
Mwanzo Wazungu na NASA waliamini hivyo hivyo. Baadaye wakaja kuziona hizi Sayari zote. Wakaiona SIRIUS na zile nyingine mbili na baada ya Miaka mingi, wakaiona hiyo Nyota ambayo Dogoni waliisema. Ndiyo maana wanaitwa ASTRONAUTS.Kama kuna majani yoyote wanatumia waache mara moja.
Kama aliiona Magharibi jioni Basi ni VENUS. Venus inaonekana kubwa kuliko Nyota zote. Kama jioni ilikuwa juu ya utosi Basi ni Jupiter ambayo ni ya pili kwa kuwaka na Kama ilikuwa Mashariki na Wekundu kidogo ni MARS.Hii ni sayari gani
Mkuu, hii ilikuwa Magharib. Saa 1 jioniKama aliiona Magharibi jioni Basi ni VENUS. Venus inaonekana kubwa kuliko Nyota zote. Kama jioni ilikuwa juu ya utosi Basi ni Jupiter ambayo ni ya pili kwa kuwaka na Kama ilikuwa Mashariki na Wekundu kidogo ni MARS.
Basi uliona VENUS. Chini yake kuna nyota nyingine mwanga wake hauchezi na ndiyo SATURN.Mkuu, hii ilikuwa Magharib. Saa 1 jioni
Oooh! SawaBasi uliona VENUS. Chini yake kuna nyota nyingine mwanga wake hauchezi na ndiyo SATURN.
Unafaa kuajiriwa NASA Kabsaa maana picha safi ang'avu. Ntaangalia siku Moja uhai ukowepo kama nami ntaziona.
Hahahaha!Unafaa kuajiriwa NASA Kabsaa maana picha safi ang'avu. Ntaangalia siku Moja uhai ukowepo kama nami ntaziona.