Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Ungeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
mkuu nina 105kgs
 
Ni pm nikusaidie ukifanikiwa ndo unaweza kunikumbuka
 
Fanya mazoezi (kukimbia kwa wiki angalau mara tatu, kimbia umbali fulani ndani ya muda fulani na hakikisha kila unapokimbia jaribu kuvunja rekodi yako), achana na michips chips, wanga nyingi nayo sio nzuri, maji usinywe ya baridi, ya vuguvugu yanatosha. Soda na vinywaji vya sukari weka pembeni.
Asubuhi kunywa angalau glass moja ya maji vuguvugu ikiwezekana yakamulie ndimu hata mbili.
Mazoezi na unachokula vitafanya kazi, uwe navyo na nidhamu.
Etc!!
 
Ungeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
Mkuu ulifanyaje nisaidie hili ni janga
 
Nimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
Kimbia/Jog angalau 16km per day utaona matokeo.Tofauti utaipata kuanzia siku 7 hivi
 
...sasa huu si utumwa na mateso?
..hatujaja duniani kuishi milele!
 
Nenda ukafanye kazi ngumu kama gereji vile,, na ujitume,, punguza kula mayai, chipsi na urojo.... Au kapande mountain kilimanjaro
 
Dawa ya kupunguza tumbo sio kuacha kula tu,bali kula kwa mpangilio,na kula mlo kamili,kunywa maji mengi tena yasiyo baridi,kuwa active muda wote,epuka/punguza sukari,ngano,na wese.
 
Raisi Jeipiem atangaze kitambi kuwa janga la kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…