mkuu nina 105kgsUngeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nina 105kgsUngeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
Nakufuata kwa karibu...103, huku maisha yangu ni milo 3 a dagaa na dona, wali maharage na chai ya rangi kwa chapati moja, sijuhi tatizo ni nini?mkuu nina 105kgs
Weka hapa, acha uchoyo!!Ni pm nikusaidie ukifanikiwa ndo unaweza kunikumbuka
Duh!mkuu nina 105kgs
Mkuu ulifanyaje nisaidie hili ni jangaUngeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
Kimbia/Jog angalau 16km per day utaona matokeo.Tofauti utaipata kuanzia siku 7 hiviNimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
...sasa huu si utumwa na mateso?Fanya mazoezi (kukimbia kwa wiki angalau mara tatu, kimbia umbali fulani ndani ya muda fulani na hakikisha kila unapokimbia jaribu kuvunja rekodi yako), achana na michips chips, wanga nyingi nayo sio nzuri, maji usinywe ya baridi, ya vuguvugu yanatosha.
Asubuhi kunywa angalau glass moja ya maji vuguvugu ikiwezekana yakamulie ndimu hata mbili.
Etc!!
Kula mkuu, kula! Kula!! Kula!!...sasa huu si utumwa na mateso?
..hatujaja duniani kuishi milele!
.saaaaaana tu!Kula mkuu, kula! Kula!! Kula!!
Naomba namie hiyo tip ya kitambiToa takwimu zisizo sahihi, nakupa uhakika ndani ya siku 3 uzito na kitambi hakuna.
Una kitambi?Naomba namie hiyo tip ya kitambi
KakitambiUna kitambi?
Hebu nitumie nikaone napenda vitambi vya kikeKakitambi
Nipe tip kwanza then utapata picha ya before and afterHebu nitumie nikaone napenda vitambi vya kike