Emily VanCamp
Senior Member
- Aug 24, 2020
- 189
- 960
Punguza kufukia kama unahama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lala chali, nyoosha miguu vizuri kisha inyanyue (huku umeibananisha) mara 30 na kuendelea. Fanya hivo asubuhi na jioni, ndani ya siku 5 tumbo limeisha.Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Interesting
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38]....Mkuu umenichkesha eti mpasua mbao...Mimi kazi zangu hazinitoei jasho Sana.. ila ntafuata ushauriPiga mazoezi tuuh amna namna ruka kamba,kimbia punguza kula kunywa maji mengi two weeks utaona mabadiliko,,,alafu hii tabia yakushindilia dona usiku Kama mpasua mbao kisha unalala wacha mara moja[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....ntajutahidi kupunguza kula maadazi na chapatiPunguza kufukia kama unahama
Nawezana..Mkuu..Basi TU nikiona wadada kwa mitandao wanaflat tummy najiona Kama nakosoro flani hivi...Pia kiafya Sio nzuri..Lakini ukipeana si unawezana???
Usitake kuvilazimisha vidole vyako vilingane,tangia imewekwa misingi ya dunia kuna warefu na wafupi,wanene na wembamba,
Ntafanyiwa enema..labda nikitoa mavi yaoote kitambi kitapungua.Interesting indeed, kwa hio wale wanaotembea na vitambi ni wa amejaza ma****vi
Ntafanyiwa enema..labda nikitoa mavi yaoote kitambi kitapungua.
Acha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figoHivi hio procedure sio kwa watu wenye constipation??? mwenzako nataka kujaribu hii ya Forever Living, nimeona reviews ni nzuri nataka kujaribu, inaitwa C9
Acha kuibia watu na madawa yenu ya kiajabu ajabu,haya madawa yenu yamekuwa vyanzo vikuu vya magonjwa ya ini na figo
ÑB muhusika wa unene usijaribu kudanganywa eti tumia forever living au sijui Ngetwa,hizi dawa ni hatari sana kwa afya za watu
Nlishawai ijaribu..Miaka hiyo nlikua na tumbo la kawaida TU.. lakini results zake Ni short term..alafu Ni ghali. Ukiacha TU Kutumia kg zinarudi... Labda uamue kufanya mazoezi na kula healthy Kama lifestyleHivi hio procedure sio kwa watu wenye constipation??? mwenzako nataka kujaribu hii ya Forever Living, nimeona reviews ni nzuri nataka kujaribu, inaitwa C9
Mh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]Nimefutuka sawasawa, tumbo ni inchi 31, hips 47, na Mimi nataka kupungua aisee
What are the side effects?Fettylicious kiboko ya vitambi ndio njia pekee na ya haraka kwa tatizo lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lmfao
Kwa mlo huo sahau kitambi Kuisha....halafu kitambi hakimalizwi na mazoezi utapoteza muda wakoSitumii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Mpaka Sasa Hivi Tupo Chini Ya Kiwango Ulaji NyamaPunguza nyama choma na bia........
1. Tengeneza juice ya ukwaju pure (uchemshe na usiweke sukari au asali) na kunywa asubuhi kabla ya kula chochote. Ukiweza kunywa na jioni. Utaharisha. Komaa na hii kitu kwa hata miezi miwili. Kama upo Dar, ukwaju unapatikana masokoni kama Kkoo, Mwenge, Mabibo.Mh...nshawai tumia semgogwe..niliharisha kiasi Kwamba. Nikaishiwa nguvu...tumbo linauma balaaaa