Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
 
Ok jitahidi kuji kamua sawasawa huwenda ni mlundikano wa kinyesi tuuh bibie
Mkuu...kinyesi hakiwezi kuwa kingi namna hiyo...hili tumbo lilianza kuwa kuubwa..baada ya kuandikiwa Dawa flani hivi hospital..nikawa NAPATA appetite yakula... Nliyoka kilo 64 Hadi 94.. saiv na 84..nataka nipunguze hizi 20..

Nakosa kukiamini nikiwa na mahusinao
 
Piga mazoezi tuuh amna namna ruka kamba,kimbia punguza kula kunywa maji mengi two weeks utaona mabadiliko,,,alafu hii tabia yakushindilia dona usiku Kama mpasua mbao kisha unalala wacha mara moja[emoji23]
 
Back
Top Bottom