Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Tatizo kula na kunywa ngano nyingi kuliko mazoezi,utakuta mtu anakula mara tatu kwa siku mapochopocho kibao,mazoezi anafanya weekend tu,afu akitoka kwenye mazoezi anashushia na supu na ngano mbili za afya party imeanza mwendo wa kula tizi tena mpaka next weekend.
 
fanya hivi:-
kula mayai mawili ya kuchemsha ya kisasa plus nyanya moja tuu asubuhi, mchana na jioni kwa siku 7. kumbuka usile kitu kingine tofauti. ukitaka kinywaji ni maji tena ya kutosha na chai tumia grean tea bila sukari then utrudi utoe ushuhuda. asante
 
Cha msingi mkuu nenda gym fanya mazoezi ya mwili na nyanyua chuma. Ni muhimu sana itakusaidia kuburn fat(kitambi) na pia kujenga misuli. Kula vyakula vya protini mfano nyama, maziwa, yai n.k. Punguza vyakula vyenye wanga na sukari mfano soda na mkate. Mimi pia nipo kwenye program ya kupunguza kitambi na kujenga misuli so far maendeleo yangu yanavutia. Nakutakia kila la heri.
Gym nahudhuria vizuri tu kila nitokapo kazini ila mabadiliko bado sijayaona.
Mbaya zaidi shemeji yako ananisema kila siku hataki hichi kitambi anasema naonekana mtu mzima akati bado ni kijana tu.
Hapa ndio napata stress mwenzio
 
fanya hivi:-
kula mayai mawili ya kuchemsha ya kisasa plus nyanya moja tuu asubuhi, mchana na jioni kwa siku 7. kumbuka usile kitu kingine tofauti. ukitaka kinywaji ni maji tena ya kutosha na chai tumia grean tea bila sukari then utrudi utoe ushuhuda. asante
Mhhh,hii inafanyaje kazi aisee
 
Mhhh,hii inafanyaje kazi aisee
mayai ya kisasa yana virutubisho kidogo sana and only 78callories but ili kuondoa hizo wanazosema sumu/chemical unatakiwa kunywa maji ya kutosha. kumbuka two eggs ni kama 156calloies times 3 ni kama 648 plus nyanya 3 ni kama total 700 callories. kwa siku mtu unahitaji 2000calories so ukicut from 200 to 700 mwili utastrugle kutumia mafuta ya ziada yaliyorundikana mwilini. Mimi nilishatumia hii method and kwa wastan nilikua napungua like 1.5kg daily kwa hizo siku 7
 
Daah mwanangu kwa maisha haya na hali hii ya vyuma bado unakitambi? aisee ongera we ni zaidi ya faita

Sent using unknown device
 
Funga masaa 16 kwa siku, mwisho wako wa kula huwe saa 12 jioni mpaka siku inayofuata saa saa 4 asubuhi, itakuwa umefunga masaa 16, mwili unapata muda unaotakiwa wa kusaga chakula na kufanya marekebisho yanayotakiwa katika mwili, ukifanya hivyo ukachanganya na mazoezi unayofanya kitambi kitaenda, maji unywe kama lita 3 kwa siku
 
Mkuu fanya iv kama utaweza ila ni jaribio la kufa

1. Hakikisha hutumii sukari kabisa yan
Mfano chai acha,juice acha kabisa yan kile kitu cha sukari acha kabisaa wewe uwe mtu wa maji kwa maana iyo hutokunywa chai asubuhi
2.vitu vya ngano vyote achaa yan acha kula kabisa
3. Vit vya wanga acha kabisaa au kula kidogo sana mana mwili unahitaji energy unaeza ukafa kwa hypoglycaemia ila tumia kidogo sana
4. Vitu vya mafuta usiache ila vikimbie mkuuu yan ukiona vilee kimbiaa kabisaa
5.Tumia protein ya kutosha kama umeagiza ugali basi ugali kama ngumi yako ila nyamaa ziwe nyingiiiiiiiiiiiiiiiii ila zisizo na mafuta
6. Kama unaweza mchana kula matunda tu ila usile izo ndizi na maparachichi kula matunda mengine yenye maji maji
7.pia kula yako isiwe ya kushiba sana
8 alafu jioni utoke jasho kidogo
Mm nilifanya ivyo kwa wiki moja nilipungua kilo 5 huwezi amin nilikuwa na kilo 94 ndani ya wiki mbili nilipunguza 9 kg

Kama unashindwa kupanga mlo na ugumu wa pesa fanya ivi jioni hakiisha unakula mayi na maziwa cha msingi usile wanga mwingi mana wanga unavyovunjwa vyunjwa uko tumboni mwishoe unaenda kutengeneza fats izo ndo zinajideposit uko kwenye tumbo lako had saiv unaona mkitambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo ni tofauti kwa protein kwaiyo hakikisha unapunguza wanga na unaongeza protein

Njia nyingine kama hueez funga masaa 16 kulaa masaa nane ila hakikisha unakula protein bado

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Main issue here is your food portions. Try to reduce them by half.
By 3/4 kwani yeye anabeba mizigo? Acha kunywa ngano tumia wine na usiende kwa yale makali. Achana na Soda kunywa organic juice ambazo hazina sukari. Fanya mazoezi kidogo hata chumbani. Kama ulienda jeshini unakumbuka push ups basi jikumbushe kama upo kambini. Leta mrejesho.
 
Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Tuigize wa Buddha. Wale monks wanakula breakfirst saa 11, lunch mwisho saa 6 mchana baada ya hapo ni maji labda juice kidogo mpaka kesho yake. Kula baada ya saa mbili ni vibaya kwa afya yako. Nimejifunza nimejaribu nimetoka kilo 76 mpaka 67 sasa na naona raha sana. Ila mazoezi. Mimi nacheza tennis ila unaweza tembea au kichura humo ndani.
 
Haha yani nile asubuhi hivyo breakfast.. Me ni bora nisipate chochote asubuhi na mchana ila usiku mmh!!..
Unaweza jikuta unahesabu matatizo ya fundi kwenye dari yako usiku wa manani.
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachwa na demu inasaidia haraka zaidi
 
Haha yani nile asubuhi hivyo breakfast.. Me ni bora nisipate chochote asubuhi na mchana ila usiku mmh!!..
Unaweza jikuta unahesabu matatizo ya fundi kwenye dari yako usiku wa manani.
Hapana jaribu siku mbili uone.
 
Nitajaribu baada kuisha kwaresma!..
Mhu kwaresima ndiyo muda mzuri kuanza. Leo ni majivu hivyo unywe maji tu mpaka saa kumi na mbili, baadaye kunywa uji wa mchele tu wenye maziwa na ulale. Kesho kabla ya kazi kunywa maziwa mgando glass halafu nenda kazi. Kunywa maji mpaka saa nane weka salad. Rudi home weka mgando na salad halafu kalale. Amka usiku kunywa maji as you feel like.
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aina gani ya mazoezi unafanya mkuu mwenzio nilikiondoa kwa wiki tu
 
Back
Top Bottom