Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
we cheka tu mwenzio nakimbia ubonge mama!..😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we cheka tu mwenzio nakimbia ubonge mama!..😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hii ratiba yangu au yako ipoje!?..Mimi nimefanikiwa kwa hilo mzee baba... Nilikua na mtumbo huo....! Acha kabisa, ila kwa sasa niko powa kabisa,... Kwakweli nafurahia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Gym nahudhuria vizuri tu kila nitokapo kazini ila mabadiliko bado sijayaona.Cha msingi mkuu nenda gym fanya mazoezi ya mwili na nyanyua chuma. Ni muhimu sana itakusaidia kuburn fat(kitambi) na pia kujenga misuli. Kula vyakula vya protini mfano nyama, maziwa, yai n.k. Punguza vyakula vyenye wanga na sukari mfano soda na mkate. Mimi pia nipo kwenye program ya kupunguza kitambi na kujenga misuli so far maendeleo yangu yanavutia. Nakutakia kila la heri.
Mhhh,hii inafanyaje kazi aiseefanya hivi:-
kula mayai mawili ya kuchemsha ya kisasa plus nyanya moja tuu asubuhi, mchana na jioni kwa siku 7. kumbuka usile kitu kingine tofauti. ukitaka kinywaji ni maji tena ya kutosha na chai tumia grean tea bila sukari then utrudi utoe ushuhuda. asante
mayai ya kisasa yana virutubisho kidogo sana and only 78callories but ili kuondoa hizo wanazosema sumu/chemical unatakiwa kunywa maji ya kutosha. kumbuka two eggs ni kama 156calloies times 3 ni kama 648 plus nyanya 3 ni kama total 700 callories. kwa siku mtu unahitaji 2000calories so ukicut from 200 to 700 mwili utastrugle kutumia mafuta ya ziada yaliyorundikana mwilini. Mimi nilishatumia hii method and kwa wastan nilikua napungua like 1.5kg daily kwa hizo siku 7Mhhh,hii inafanyaje kazi aisee
By 3/4 kwani yeye anabeba mizigo? Acha kunywa ngano tumia wine na usiende kwa yale makali. Achana na Soda kunywa organic juice ambazo hazina sukari. Fanya mazoezi kidogo hata chumbani. Kama ulienda jeshini unakumbuka push ups basi jikumbushe kama upo kambini. Leta mrejesho.Main issue here is your food portions. Try to reduce them by half.
Tuigize wa Buddha. Wale monks wanakula breakfirst saa 11, lunch mwisho saa 6 mchana baada ya hapo ni maji labda juice kidogo mpaka kesho yake. Kula baada ya saa mbili ni vibaya kwa afya yako. Nimejifunza nimejaribu nimetoka kilo 76 mpaka 67 sasa na naona raha sana. Ila mazoezi. Mimi nacheza tennis ila unaweza tembea au kichura humo ndani.Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Haha yani nile asubuhi hivyo breakfast.. Me ni bora nisipate chochote asubuhi na mchana ila usiku mmh!!..Tuigize wa Buddha. Wale monks wanakula breakfirst saa 11, lunch mwisho saa 6 mchana baada ya hapo ni maji labda juice kidogo mpaka kesho yake. Kula baada ya saa mbili ni vibaya kwa afya yako. Nimejifunza nimejaribu nimetoka kilo 76 mpaka 67 sasa na naona raha sana. Ila mazoezi. Mimi nacheza tennis ila unaweza tembea au kichura humo ndani.
Ukiachwa na demu inasaidia haraka zaidiWa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana jaribu siku mbili uone.Haha yani nile asubuhi hivyo breakfast.. Me ni bora nisipate chochote asubuhi na mchana ila usiku mmh!!..
Unaweza jikuta unahesabu matatizo ya fundi kwenye dari yako usiku wa manani.
Nitajaribu baada kuisha kwaresma!..Hapana jaribu siku mbili uone.
Mhu kwaresima ndiyo muda mzuri kuanza. Leo ni majivu hivyo unywe maji tu mpaka saa kumi na mbili, baadaye kunywa uji wa mchele tu wenye maziwa na ulale. Kesho kabla ya kazi kunywa maziwa mgando glass halafu nenda kazi. Kunywa maji mpaka saa nane weka salad. Rudi home weka mgando na salad halafu kalale. Amka usiku kunywa maji as you feel like.Nitajaribu baada kuisha kwaresma!..
Miss youKupunguza portion ujazo haitamsaidia, hapo ni aina ya chakula anachokula ndiyo what matters most
Ni aina gani ya mazoezi unafanya mkuu mwenzio nilikiondoa kwa wiki tuWa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app