Gomba kwamaana ya shamba au mlungi.kula mrungi mwezi mmoja tu unakata hamu ya kula.Mkuu..kwetu vichwa vyepesi...wote waliovuta gomba tuliwapeleka mirembe.
Mkuu una uhakika hii ni dawa?Lala chali, nyoosha miguu vizuri kisha inyanyue (huku umeibananisha) mara 30 na kuendelea. Fanya hivo asubuhi na jioni, ndani ya siku 5 tumbo limeisha.
Mwenyewe nina kilo zaidi ya 100 na sina kitambi alhamdulillah.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Je umepima kwa kutumia BMI ili kujua unatakiwa uwe na uzito gani kulingana na urefu ulionao?Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
[emoji16][emoji16][emoji16] ahsante kwa faraja hii ila unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupaWatu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa. Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.
Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.
Na wew ni kimtungi shangazi...😂😂[emoji16][emoji16][emoji16] ahsante kwa faraja hii ila unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Fanya utaratibu wa kukopa pesa na uhielekezo kwenye matumizi ambayo utashindwa kulipa; tumbo litaisha lenyeweMimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Aiseee....alafu Kuna Mua linavimbaa yaani..Hadi nashangaa...Asubuhi nikiamka sio.kubwaa Sana .ika kifika.jioni...linavimbaaa mpaka naogopa mimiLako limezidi Kama unaulizwa hilo swali
Mi nimeongezeka kiaina tu ndo vile mlaji hapendi nyama nyingi, Nina 82kgs
BMI...yangu last time napima nlikua overweight na nlikua na kilo 72..saiv nadhani ntakuwa Obese..japo number sikumbuki.Je umepima kwa kutumia BMI ili kujua unatakiwa uwe na uzito gani kulingana na urefu ulionao?
Mkuu kukopa hapana...sitaki.kukimbia mtaaa Mimi.Fanya utaratibu wa kukopa pesa na uhielekezo kwenye matumizi ambayo utashindwa kulipa; tumbo litaisha lenyewe
Asante... mwingine atanishauri herion na cocaine.. hapana Mkuu MIHADARATI NI HARAMGomba kwamaana ya shamba au mlungi.kula mrungi mwezi mmoja tu unakata hamu ya kula.
NtajitahidiPunguza kula Wali Maharage sasa
Nimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia TuWatu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa. Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.
Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.
Sasa Hivi Upo Kama Mamelod Yule Wa FIFA!!!😁😂Ntajitahidi
Ugoro Umeingia Puani Ni Mwendo Wa ChafyaAsante... mwingine atanishauri herion na cocaine.. hapana Mkuu MIHADARATI NI HARAM
Mambo mengine huja tuu kwa kuridhika na maisha. Cha Msingi punguza vyakula vya wanga ili kujiepusha na magonjwa yatokanayo na unene kama Kisukari. Mimi nina shida hiyo ya uzito; nilichofanikiwa ni kuondokana na tishio la kisukari kwa kupunguza sana ulaaji wa vyakula vya wanga. Mahali pa kunywa cha na mkate, kunywa chai isiyo na sukari na karanga.Mkuu kukopa hapana...sitaki.kukimbia mtaaa Mimi.
Akakope Platinum Halafu Adaiwe Na Majembe Auction MartMkuu kukopa hapana...sitaki.kukimbia mtaaa Mimi.
Mweusi?!!! Yani wewe jiwe hawezi kukusikiliza shida zako[emoji23][emoji23]Mkuu...kweli ninatumbo lakini SI kiivyo[emoji23][emoji23][emoji23]...jamani..alafu Mimi mweusi
Mara 30 kwa interval ganLala chali, nyoosha miguu vizuri kisha inyanyue (huku umeibananisha) mara 30 na kuendelea. Fanya hivo asubuhi na jioni, ndani ya siku 5 tumbo limeisha.
Mwenyewe nina kilo zaidi ya 100 na sina kitambi alhamdulillah.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app