Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Watu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa.

Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.

Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.
 
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Je umepima kwa kutumia BMI ili kujua unatakiwa uwe na uzito gani kulingana na urefu ulionao?
 
Watu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa. Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.
Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.
[emoji16][emoji16][emoji16] ahsante kwa faraja hii ila unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ahsante kwa faraja hii ila unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Na wew ni kimtungi shangazi...😂😂
Pole sana shangazi, ni kujikubali tu. Haya maisha ukiishi kwa misingi ya watu wengine wanakuonaje utateteseka sana.
 
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Fanya utaratibu wa kukopa pesa na uhielekezo kwenye matumizi ambayo utashindwa kulipa; tumbo litaisha lenyewe
 
Dawa ya kitambi ni kukimbia. Mimi nimeifanya kwa mwezi mmoja kitambi kimekimbia. Ila tatizo moja nimekonda kote mpaka najiogopa na ukizingatia mi ni Me.

Hivi hakuna zoezi la kuongeza mwili bila kupata kitambi. Manake mi nikianza kunenepa huwa linaanza tumbo[emoji3525][emoji3525]
 
Lako limezidi Kama unaulizwa hilo swali

Mi nimeongezeka kiaina tu ndo vile mlaji hapendi nyama nyingi, Nina 82kgs
Aiseee....alafu Kuna Mua linavimbaa yaani..Hadi nashangaa...Asubuhi nikiamka sio.kubwaa Sana .ika kifika.jioni...linavimbaaa mpaka naogopa mimi
 
Je umepima kwa kutumia BMI ili kujua unatakiwa uwe na uzito gani kulingana na urefu ulionao?
BMI...yangu last time napima nlikua overweight na nlikua na kilo 72..saiv nadhani ntakuwa Obese..japo number sikumbuki.
 
Watu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa. Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.
Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.
Nimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia Tu
Miili Imegoma Yaani Kama Mitunduru Ya Dodoma Kwenye Ukame
 
Mkuu kukopa hapana...sitaki.kukimbia mtaaa Mimi.
Mambo mengine huja tuu kwa kuridhika na maisha. Cha Msingi punguza vyakula vya wanga ili kujiepusha na magonjwa yatokanayo na unene kama Kisukari. Mimi nina shida hiyo ya uzito; nilichofanikiwa ni kuondokana na tishio la kisukari kwa kupunguza sana ulaaji wa vyakula vya wanga. Mahali pa kunywa cha na mkate, kunywa chai isiyo na sukari na karanga.
 
Back
Top Bottom