Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Watu ooooh usile hichi usile kile, me mbona napiga vyote hivyo na siwi bonge wala sipati tumbo? Kuna vitu viko kiuhalisia wakati mwingine inakuwa ngumu kuvikataa.
Tiba ni kujikubali kama Asha boko. Piga tizi uwe mwepesi kama Sam Hang, muhimu uumudu mwili wako usikuendeshe.
Ukianza kuwaza watu wanakutazamaje lazima ukose amani. Muhimu kwenye swala letu unawezana na muhusika akukubali ulivyo.