[emoji23][emoji23]pole jamani kitambi kibaya Sana, punguza vitu vya sukari kama chai, soda na vingine jamii ya hivyo wali, ugali, fanya diet ya viazi mviringo(kiazi ki1-2) na maziwa ya mgando inasaidia sanaMh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]
Achana na maneno ya waswahili.mirungi ni miti ya peponi inaliwa ulaya na ulimwengune kote.Asante... mwingine atanishauri herion na cocaine.. hapana Mkuu MIHADARATI NI HARAM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Mitundugu tunaiiita...ukichomwa na mwiba wake..utakomaNimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia Tu
Miili Imegoma Yaani Kama Mitunduru Ya Dodoma Kwenye Ukame
Huyu simjui mkuuSasa Hivi Upo Kama Mamelod Yule Wa FIFA!!![emoji16][emoji23]
Hawezi kabisaa....Maana hata kuteuliwa TU lazima uwe mweupe.[emoji23]Mweusi?!!! Yani wewe jiwe hawezi kukusikiliza shida zako[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.duu
Pole sana my sister, ila ushauri wangu ni hivi vitambi kwa jinsia ya kike hutokana na kutumia either uzazi wa mpango au ulaji wa mafuta kwa wingi.ushauri ni kwamba kama unatumia hizo uzazi wa mpango acha.Pia then abstain kula nyama na vitu vya mafuta asubuhi kunywa maji ya moto.Pia fanya mazoezi kidogo sana yale ya katatumbo kwa sisi Me.Tunaita kutafuta sixpacks..pia usiwe na haraka sana yaan hicho kitambi kiishe kwa two weeks No! It may take six months kuendelea...Never give up my role model..Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Lala chali, nyoosha miguu vizuri kisha inyanyue (huku umeibananisha) mara 30 na kuendelea. Fanya hivo asubuhi na jioni, ndani ya siku 5 tumbo limeisha.
Mwenyewe nina kilo zaidi ya 100 na sina kitambi alhamdulillah.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Asante dear[emoji23][emoji23]pole jamani kitambi kibaya Sana, punguza vitu vya sukari kama chai, soda na vingine jamii ya hivyo wali, ugali, fanya diet ya viazi mviringo(kiazi ki1-2) na maziwa ya mgando inasaidia sana
Asante mkuu..nitajitahidi kufanyia kaziPole sana my sister, ila ushauri wangu ni hivi vitambi kwa jinsia ya kike hutokana na kutumia either uzazi wa mpango au ulaji wa mafuta kwa wingi.ushauri ni kwamba kama unatumia hizo uzazi wa mpango acha.Pia then abstain kula nyama na vitu vya mafuta asubuhi kunywa maji ya moto.Pia fanya mazoezi kidogo sana yale ya katatumbo kwa sisi Me.Tunaita kutafuta sixpacks..pia usiwe na haraka sana yaan hicho kitambi kiishe kwa two weeks No! It may take six months kuendelea...Never give up my role model..
OkAsante mkuu..nitajitahidi kufanyia kazi
Kinamalizwa na nini basi?Kwa mlo huo sahau kitambi Kuisha....halafu kitambi hakimalizwi na mazoezi utapoteza muda wako
Sasa unashangaa kwa jinsi wewe unavyokula hui bonge. Me sioni kama vyakula ni tatizo sana ni mwili wa mtu tu ndivyo umeumbwa.Nimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia Tu
Miili Imegoma Yaani Kama Mitunduru Ya Dodoma Kwenye Ukame
Huyu anaenda au anarudi?Kumbe ndo weweView attachment 1599446
Komaa kufata taratibu za kupunguza mwili, litapunguaAiseee....alafu Kuna Mua linavimbaa yaani..Hadi nashangaa...Asubuhi nikiamka sio.kubwaa Sana .ika kifika.jioni...linavimbaaa mpaka naogopa mimi
Hii Ndo intermittent fasting?Kula mara 2 tu kwa siku huku pia usile snacks za aina yoyote kati ya hiyo miwili. Breakfast ya nguvu saa 3 asubuhi,lunch ya nguvu saa 9 mchana,baada ya hapo kutakua na gape la masaa 17 hadi mlo mwingine . Ndani ya miezi mitatu utaona tofauti kubwa sana ya mwili na tumbo kupungua.
Nitafute nihakikishe kama kweli unawezana?Nawezana..Mkuu..Basi TU nikiona wadada kwa mitandao wanaflat tummy najiona Kama nakosoro flani hivi...Pia kiafya Sio nzuri..
Kitambi kina letwa na Hormone na.kinamalizwa na hormoneKinamalizwa na nini basi?