Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Mh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]
[emoji23][emoji23]pole jamani kitambi kibaya Sana, punguza vitu vya sukari kama chai, soda na vingine jamii ya hivyo wali, ugali, fanya diet ya viazi mviringo(kiazi ki1-2) na maziwa ya mgando inasaidia sana
 
Asante... mwingine atanishauri herion na cocaine.. hapana Mkuu MIHADARATI NI HARAM
Achana na maneno ya waswahili.mirungi ni miti ya peponi inaliwa ulaya na ulimwengune kote.
kulakitu shamba apunguze mwili.handas ikipanda dunia yote utaona niyako nawewe ndo malkia wa enzi na enzi.
 
Nimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia Tu
Miili Imegoma Yaani Kama Mitunduru Ya Dodoma Kwenye Ukame
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Mitundugu tunaiiita...ukichomwa na mwiba wake..utakoma
 
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.duu

Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Pole sana my sister, ila ushauri wangu ni hivi vitambi kwa jinsia ya kike hutokana na kutumia either uzazi wa mpango au ulaji wa mafuta kwa wingi.ushauri ni kwamba kama unatumia hizo uzazi wa mpango acha.Pia then abstain kula nyama na vitu vya mafuta asubuhi kunywa maji ya moto.Pia fanya mazoezi kidogo sana yale ya katatumbo kwa sisi Me.Tunaita kutafuta sixpacks..pia usiwe na haraka sana yaan hicho kitambi kiishe kwa two weeks No! It may take six months kuendelea...Never give up my role model..
 
[emoji23][emoji23]pole jamani kitambi kibaya Sana, punguza vitu vya sukari kama chai, soda na vingine jamii ya hivyo wali, ugali, fanya diet ya viazi mviringo(kiazi ki1-2) na maziwa ya mgando inasaidia sana
Asante dear
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Pole sana my sister, ila ushauri wangu ni hivi vitambi kwa jinsia ya kike hutokana na kutumia either uzazi wa mpango au ulaji wa mafuta kwa wingi.ushauri ni kwamba kama unatumia hizo uzazi wa mpango acha.Pia then abstain kula nyama na vitu vya mafuta asubuhi kunywa maji ya moto.Pia fanya mazoezi kidogo sana yale ya katatumbo kwa sisi Me.Tunaita kutafuta sixpacks..pia usiwe na haraka sana yaan hicho kitambi kiishe kwa two weeks No! It may take six months kuendelea...Never give up my role model..
Asante mkuu..nitajitahidi kufanyia kazi
 
Nimekuelewa Wengine Ubonge Tunausikia Tu
Miili Imegoma Yaani Kama Mitunduru Ya Dodoma Kwenye Ukame
Sasa unashangaa kwa jinsi wewe unavyokula hui bonge. Me sioni kama vyakula ni tatizo sana ni mwili wa mtu tu ndivyo umeumbwa.
 
Download app ya mazoezi ya tumbo itakusaidia kila siku unafanya ndani ya mwezi lazima matokeo uone.
 
Duuh juz kat hapa""
Kuna mahali niltoka out!!
Kuogelea"" kweny ( swimming pool)

Wakuu ilikua ni vituko wadada wana mitumbo hyo"" hata hawavut!!!

Kasheshe ilikua kwa "Chief" mmoja hivi...amekuja kutanua na kipenz; chake kizur!!! Afu kimodo "" yeye sasa mtumbo huo""

Akijirusha kweny maji'' utaskiaa pwaaaa"""

Amuwezi amin!; wakuu"" mim ndio niliogelea na kile kidada"" huku nakifunza style mbali mbali( peny kina kirefu)...........

Jamaa ameganda pemben " na mtumbo wake ulee"" yaan full kukishika, , , , mpka nikad""""" nd""@

N.B
Matumbo yananyima confidence hasa kwa wadada:

Zingatia ulaji mzur! Na mazoez ikibidi:
 
Kula mara 2 tu kwa siku huku pia usile snacks za aina yoyote kati ya hiyo miwili. Breakfast ya nguvu saa 3 asubuhi,lunch ya nguvu saa 9 mchana,baada ya hapo kutakua na gape la masaa 17 hadi mlo mwingine . Ndani ya miezi mitatu utaona tofauti kubwa sana ya mwili na tumbo kupungua.
 
Hii Ndo intermittent fasting?
 
Back
Top Bottom