Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Wakuu naomba kujua wapi naweza kupata majani ya chai kwa ajili ya kupunguza kitambi.

nasikia kuna chai za kichina ukinywa tumbo linapungua.

nipo jijini dsm.

Wakuu naomba kujua wapi naweza kupata majani ya chai kwa ajili ya kupunguza kitambi.

nasikia kuna chai za kichina ukinywa tumbo linapungua.

nipo jijini dsm.

Wakuu naomba kujua wapi naweza kupata majani ya chai kwa ajili ya kupunguza kitambi.
nasikia kuna chai za kichina ukinywa tumbo linapungua.
nipo jijini dsm.
Acha upuzi wako wakati unaona hujapelekwa beg party?? Anyway cha msingi subiri mkeo apate serengeti boys ukimfumania tuu kitambii automatic kitaisha , pia wewe unaonekana mrafi sana punguza kula kula ovyo kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa mchemsho wa kuku na chapati tatu ,soda na maji ya uhai lita 1 ,gairo kala chips na mishikaki 5 + soda+maji , msamvu kala juice ya 1 lta ya azam na biscut ya choclate, mizani ya mikese kanunua korosho za buku 3 ,chalinze kanununua mahind ya kuchoma na pepsi baridi wakati tunafika maili moja huyu mheshimiwa kanununua mayai 2 na maji hiv wana jf kweli vitambi vitapungua??
acha upuzi wako wakati unaona hujapelekwa beg party?? Anyway cha msingi subiri mkeo apate serengeti boys ukimfumania tuu kitambii automatic kitaisha , pia wewe unaonekana mrafi sana punguza kula kula ovyo kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa mchemsho wa kuku na chapati tatu ,soda na maji ya uhai lita 1 ,gairo kala chips na mishikaki 5 + soda+maji , msamvu kala juice ya 1 lta ya azam na biscut ya choclate, mizani ya mikese kanunua korosho za buku 3 ,chalinze kanununua mahind ya kuchoma na pepsi baridi wakati tunafika maili moja huyu mheshimiwa kanununua mayai 2 na maji hiv wana jf kweli vitambi vitapungua??
Apunguze kula vyakula vya wanga kwa wingi...
Asubuhi - breakfast nyepesi (matunda + mboga na wanga kidogo kama mkate wa brown)
Lunch - Wanga kidogo + Maharage + Mboga za Majani kwa wingi
Dinner - Mboga za Majani + Matunda (Dinner iliwe walau Masaa 2 kabla ya kuingia kulala).
Anywe walau Lita 1 ya maji kwa siku.
Apate walau Masaa nane ya usingizi.
Afanye mazoezi ya viungo ikiwamo situps walau mara 3 kwa wiki.
ASINYWE POMBE.
Mifano ya Chakula ni "mifano tu" awe mbunifu kulingana na taste yake...ili mradi aepuke milo mizito kama Ugali, Wali, Mihogo, Vitumbua mara 3 kwa siku.