Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambi, unene, utipwatipwa au uzito kupita kiasi ni tatizo linalosumbuwa watu wengi karibu kote duniani. hata mimi nimewahi kuwa na kitambi na kusema ukweli kilinisumbuwa sana lakini sasa sina kitambi tena na hakitanipata tena. Mtaani kila mmoja ana majibu yake. Mi nilifanya karibu kila aina ya mazoezi, kila aina ya kufuatilia chakula, lakini bado kitambi hakikunitoka. Nilifanyaje sasa?, mwili umebuniwa kujiendesha wenyewe, hauhitaji askari au risasi au mabomu kutoka kwingine, mwili wenyewe!. Fanya hivi leo, pima uzito wako na uandike tarehe na uzito na uhifadhi. Kuanzia kesho tembea kwa miguu lisaa limoja bila kusimama kutoka kituo A mpaka B, tembea spidi tu ya kawaida usijitese ili mradi bila kupumzika toka A mpaka B. Unapotembea kwa miguu saa moja bila kusimama unakuwa umekiamsha kimeng'enya (enzyme) cha kuchoma mafuta mwilini kiitwacho 'lipase' ambacho huamshwa kuanza kazi hiyo baada ya mwendo wa miguu wa saa moja na hubaki kikichoma mafuta kwa masaa 12. kwahiyo ikiwa utatembea lisaa limoja asubuhi na jingine jioni utakuwa umekiamsha kimeng'enya hiki kufanya kazi kwa masaa 24 (siku nzima)!! na kwa kuongeza, kimeng'enya hiki huondoa pia taka za kolesteroli. kwa hiyo kiamshe! kiamshe! kiamshe!. kumbuka pia kunywa maji glasi 2 (ml 500) kila nusu saa kabla ya kula chochote, punguza vyakula vya kukaanga katikati ya mafuta kama vile chips au maandazi na vingine vinavyopikwa kwa staili hiyo. Anza kesho kutembea na baada ya wiki mbili nitafute 0769779533 na usisahau kusoma: uzito, utipwatipwa/unene kupita kiasi | maajabu ya maji. ukifanikiwa wajurishe wengine.
Mie nimeomba nielekezwe wapi naweza pata hizo majani ya chai.hayo ya jogging,maji ya moto sio ninachokitaka.

Acha upuzi wako wakati unaona hujapelekwa beg party?? Anyway cha msingi subiri mkeo apate serengeti boys ukimfumania tuu kitambii automatic kitaisha , pia wewe unaonekana mrafi sana punguza kula kula ovyo kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa mchemsho wa kuku na chapati tatu ,soda na maji ya uhai lita 1 ,gairo kala chips na mishikaki 5 + soda+maji , msamvu kala juice ya 1 lta ya azam na biscut ya choclate, mizani ya mikese kanunua korosho za buku 3 ,chalinze kanununua mahind ya kuchoma na pepsi baridi wakati tunafika maili moja huyu mheshimiwa kanununua mayai 2 na maji hiv wana jf kweli vitambi vitapungua??

Ndio maana JF NI PAHALA NISIPOPENDA KUKOSA, umevunja mbavu zangu.

Achana na mavitu ya kichina utajapata cancer ya utumbo bure we CHUKUA MDALASINI VIJIKO 2 CHANGANYA NA ASALI MBICHI VIJIKO 2 KULA MCHANGANYIKO HUO ASUBUH KABLA HUJAPIGA MSWAKI NA JIONI KABLA HUJALA TUMBO LITAPUNGUA HARAKA NA HUTAPATA MADHARA YYT ZAID YA KUIMARISHA KINGA YA MWILI. kila la kheri
Acha upuzi wako wakati unaona hujapelekwa beg party?? Anyway cha msingi subiri mkeo apate serengeti boys ukimfumania tuu kitambii automatic kitaisha , pia wewe unaonekana mrafi sana punguza kula kula ovyo kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa mchemsho wa kuku na chapati tatu ,soda na maji ya uhai lita 1 ,gairo kala chips na mishikaki 5 + soda+maji , msamvu kala juice ya 1 lta ya azam na biscut ya choclate, mizani ya mikese kanunua korosho za buku 3 ,chalinze kanununua mahind ya kuchoma na pepsi baridi wakati tunafika maili moja huyu mheshimiwa kanununua mayai 2 na maji hiv wana jf kweli vitambi vitapungua??
Ndugu zangu wana jf kama mjuavyo kitambi sio kizuri wala kuendekeza. Miaka ya karibuni tunashuhudia watu wakiburst vitambi wake kwa waume. Na matokeo yake ni maradhi na wengine wameshindwa kutimiziana haja zao za ndoa coz tumbo ni kubwa na linakuwa kero kwa maana ya kukosekana flexibility ya mwili. Hoja yangu naweza kutumia strategy zipi kuondo kabisa kitambi. Sio kupunguza, nataka kifutike kabisa.
Humu kuna wataalam, plz naombeni msaada, kitambi ni kero mno. Gym sometimes ni miyeyusho na hela inapotea bila mafanikio! Niliwai kusoma huku kuwa kuna mtu alikua anaenda gym matokeo yake mwalim wa gym akaanza kumtaka kimapenzi. Kwangu mimi ni changamoto, hainipi shida. What I want is to take off my obesity.

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche

- hamia uswahilini

- ingia jukwaa la siasa JF

- pekua simu ya mwenza wako

- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.

/-Naona we ndg yangu uchizi unakuanza mambo ya vitambi na arsenal wapi na wapi kwa taarifa yako babu kakufuka
Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-
- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal
Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.
Sasa jamaa hataki mazoezi nyinyi mnazani tumshauri nini?we mchawi?
kwenye red mkuu!Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-
- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal
Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.
Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-
- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal
Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.
kwenye red mkuu!
Kaka! kaka! kaka! kaka!! utani mwingine angalia????!!!!!