Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Aiseee...Huo uvivu wakula hua mnautoa wapi jamani..mbona Mimi sinauvivu was kula..naweza kufunga nikiaamua ....ila kupiga pasi ndegu Ni shida.
Mimi tangu 2017 napiga pasi ndefu. Mazoea niliyatoa shuleni na sijawahi rejea hali ya kawaida. Nikilazimisha kula mchana usiku naweza nisile na nikapata njaa saa mbaya. Bora nile usiku, asubuhi chai
 
Nimependa somo lako.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...jamani hapo ntakuwa Kibonge. Kweli...Sajare napata wapi Dolla..wakati Mimi dhooful Hali.

Ntakomaa TU na diet...Maana hakuna namna
Dhoofu hali😅😅😅😅 acha kula chips kitimoto japo ni tamu
 
Mimi tangu 2017 napiga pasi ndefu. Mazoea niliyatoa shuleni na sijawahi rejea hali ya kawaida. Nikilazimisha kula mchana usiku naweza nisile na nikapata njaa saa mbaya. Bora nile usiku, asubuhi chai
Mimi hata chuo sikuwa na piga pasi ndegu japo.nlikua nakilo 60...
 
Dhoofu hali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha kula chips kitimoto japo ni tamu
Kitimoto sijawai kula...chips nakulaga maramoja Moja ..shida yangu Ni maadazi na chai na mawali...hayo ndo napambana nayo
 
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Jaribu yafuatayo;
1. Punguza/acha vyakula vya wanga hasa wali, vyakula vya ngano etc,
2. Portion ya chakula iwe ugali robo moja , robo tatu iwe mboga.
3. Punguza/acha matumizi ya sukari incl. Soda, juice/vyakula viliyoongezwa sukari etc.
4. Kama umeshindwa jogging kwa sababu ya goti tengeneza utaratibu wa kutembea hata km 40 kwa mwezi. Tumia application kama strava ku keep records itaku-motivate.
5. Kunywa maji ya kutosha.
6. Ratiba yako ya chakula cha usiku iwe matunda au mtindi.
8. Kula kwa wakati. Zingatia muda wa kula.
9. Jifunze kufunga kula (fasting) walau mara moja au mbili kwa wiki.
 
No wonder yule mwana anataka umfulie nguo....(tuachane na hilo)

Je .umezaa?...kama ni kibonge

Mazoez hayatakusaidia...na kama unapenda kula kula .inabid ujisacrifice tu uache...

Na kitambi kinapungua kwa diet tu na mazoez kwa mbali...yaan inshort inabid uteseke kwelkwel ili kupata hilo tumbo unalotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…