Njia pekee ambayo utaweza maliza kitambi Kwa afya kabisa Kwanza usijilinganishe mwili wako na mtu mwingine kama wewe ni mnene kama shishi usije ukajipa moyo kuwa kama flaviana mana utaishia kufanya crush diet ambayo itadhoofisha mwili wako na kuibui magonjwa mengine kama mifupa kudhoofu kuumwa mgongo nanhautokaa upone,
Kwanza jikubali,badilisha mfumo wako wa kula sio Kwa mda mfupi Bali iwe lifestyle yako utapungua na baada ya mda utatarget kg zako na mwili wako yani hautopungua wala kuonhezeka (nzuri Kwa afya) hii ukiishi Kwa style hii mfano weekend ukijiachia na junk foods or naweza sema vyakula ambavyo unajua unavipenda na huwezi acha Ila vinanenepesha unachagua siku maalum kula usiache kabisa kula kisa kitambi ,
Kula wanga wenye nyuznyuzi kama vile ndizi,viazi mihogo mkate brown,ugali wa Donna mboga mboga Kwa wingi kuku au samaki maji mengi juice za asili epuka vyakula vya kusindikwa vyakula vya kuoka,kubanika vizur zaidi pia dinner jitahid saa mbili usiku na ukae masaa mawili kabla ya kulala sio ule ukapande kitandani na usile vyakula vizito usiku
Asbh unapoamka unaweza kunywa tangawizi hakikisha kali inawasha kamulia limao ukishaepua maji na kuchuja kwenye kikombe weka apple cider vinegar vijiko viwil chakula na asali same koroga kunywa hii Ni empty stomach ukimaliza kama Kuna uwanja wa kukimbia au barabara(road side jogging) fanya hvo au kiruka kamba walau 30mn ofcourse utasweet na kama ulikua umekunywa beer or vyakula vibaya kuharisha muhimu ukirud unaweza ukaoga na kujiandalia soft breakfast kama vile maziwa juice mkate brown au mihogo
Ila kwakuwa umelenga kitambi naomba nikupe hii as breakfast kama hakitopungua itakua umelogwa[emoji23][emoji23]. Baby spinach kiganja kimoja,mtindi glass moja au maziwa no fully creamy tafadhar parachichi kipande,ndizi mbili maji nusu glass kunywa hiyo 21days itakufanya uwe fully hasa kama mtokaji asbh na pia ni easy breakfast unabrend baada ya cku 21 naomba niletee mrejesho na bia zangu mbili from there utakua ukibadilisha breakfast za aina mbalimbali na smooth za aina mbalimbali pia utakua na Ngozi nzuri,mwili mzuri stress-free fully healthy,
Ps;Hakuna dawa za kupunguza unene (mwili) zaidi ya healthy lifestyle
Sent from my Nokia 7.2 using
JamiiForums mobile app