Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Hongera sana
 
SIKU tatu nafanya water fasting..kwa Muda gani au ndo lifestyle
Fanya ivo mpaka upate matokeo unayotaka mwenyewe, baada ya hapo punguza kula ovyo ovyo na epuka kushiba usiku kabla ya kulala. Huyu mdogo wangu anafikisha mwaka sasa ivi kama sikosei, kama ungemuona hapo mwanzo na alivobadilika, huwezi kuamini kabisa, mimi mwenyewe sikuamini siku nlipomuona baada ya kurudi chuo.
 
Usinichekeshe juzi nimepost status, picha mtu akasema hongera naona umeamua kuzaa fasta fasta.
Mwingine akaniambia najitahidi kuficha mimba ila inaonekana uwii nikaifuta ile picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ahahhahaah
 
Njoo kwangu nitakupokea huna haja ya kuhofia tumbo, hata ukilitoa saivi, ukizaa litarudi tu..
 
Siku tatu ndefu sana mama usije zimia[emoji28]

How about mlo mmoja kwanza?.
Binafsi siwezi kaa siku 3 nashindia maji.,
Siku 1 i can
Kufunga naweza kufungaa.. Kama ramadhani..lakini sijawai kaa SIKU tatu njaa..

Ila ntaanza na mlo mmoja..Kama ulivyoshauri
 
Nunua zile mikanda ya kuvaa tumboni

Punguza kula wanga nyingi Hasa jioni na usiku kuka vitu soft usishibe saaana

Kunywa maji ya Moto kila siku asubuhi

Nunua kitairi Cha kufanyia mazoezi

Jog angalau Mara 3 kwa wiki

Nyamba ,pombe pia punguza
 
Unapingana na sayansi ya vyakula, kila la kheri mkuu
 
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Kila unapokula hakikisha sahani ya msosi nusu yake iwe ni mbogamboga na matunda na nusu inayobaki ndiyo iwe wali na Maharage...
 
Kwani wema alifanya Nini...Mimi sijajua kilichompunguza..Dawa haziongezi tumbo...zinakufanya uwe na appetite Sana..alafu unakuwa sluggish ...yaani nguzu Huna...so unalala TU. Na kula
Wema anatumia cocain...sikuhiz watu wanene sana ambao kupungua huwaa ishu wana option yao skuhiz anatumia cocain kwa mda then ana switch to methadon fasta kabla hajawa adicted nayo...anakonda mwenyewe
 
Siku 3 unakunywa maj tu?? Chai hii inafunga mwaka2020
 
Daah siku tatu!
 
Wema anatumia cocain...sikuhiz watu wanene sana ambao kupungua huwaa ishu wana option yao skuhiz anatumia cocain kwa mda then ana switch to methadon fasta kabla hajawa adicted nayo...anakonda mwenyewe
Mh...hapana I can't risk addiction...Siwezi kabisa huu upuuzi.
Ni kheri niwe kibonge...kuliko kubwia unga niwe hasara kwa familiA yangu
 
Wema anatumia cocain...sikuhiz watu wanene sana ambao kupungua huwaa ishu wana option yao skuhiz anatumia cocain kwa mda then ana switch to methadon fasta kabla hajawa adicted nayo...anakonda mwenyewe
Sasa Mbona methadone inanenepesha balaaaa...Nakumbuka RAyC alisema kuwa methadone inanenepesha.

Kwanza methadone zinatolewa clinic .unatakiwa uende kila siku ..

Sasa mateso yote yanini...Ukibonge Sio zambi looh...

Najua Siwezi kukupata Wewe Napoleon Ila ntampata mwingine mpenda mattercore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…