Nakubaliana na wewe kabisa,
Mimi nina miaka mitatu nimebadili kbs maisha yangu, although kwangu mm mazoezi ninayoyafanya zaidi ni jogging lkn kuhusu kula nimefuata miongozo kama uliyoitaja hapo awali.
Kwa kifupi kila mtu anayenifahamu awali leo nikikutana nae ananiambia anatamani mwili kama wangu. Nimekata kama 24kg na kazi kubwa sasa ni ku-maintain weight niliyonayo.
Faida naziona waziwazi nikilala ni kama crown mzee no kukoroma, no kuhema ovyoovyo ukipandisha ngazi au kutembea kidogo, mama nae anaenjoy huku tough game......!!!
Wazee mazoezi mazur sana, mwili ushaji tune yaani nikikaa siku 3 sijafanya mazoezi i feel like mwili wangu hauko sawa na mind wise nakuwa kama nahitaji kufanya jambo ili akili ikae sawa, kumbe ni mazoezi tu hapo akili inataka.
Tukutane Atlas Marathon 18/10,wengine wanasema Marathon wewe unasema daily routine!!!