codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 438
- 868
Mkuu kuna njia mbili ambazo ni real practiced na tumbo kuisha ndani ya week tu.
1. Kama unapenda kula we kula sana hata bia na nyama na wanga ya kutosha tena fanya starehe zako zote bila kujinyima chochote ila hakikisha kila siku unafanya zoezi hili kwa set 4 kila siku hapa tumbo utalisikia kwa jilani
Fanya Kama unalala chali yaani tumbo lipo juu na mgongo kwenye sakafu kisha kutanisha mikiono yako 2 kwa nyuma ya kichwa chako huku kichwa chako kikishikiliwa na mikono yote 2, weka kizuizi kwenye miguu au mtu kukushika miguu kisha utakuwa unajiinua kichwa na kuludi chini mara 50 kwa set 1.
Kwa siku piga set 4 na siku ya kwanza utasikia maumivu kwenye misuri ya tumbo na kadri unavyopiga ndio maumivu yanapungua na tumbo kusinyaa.
2. Kama utaona zoezi ni gumu basi we kata msosi yaani unashindia pieces za mkate na pespi hii ndio inakuwa menu yako ya asubuhi na jioni then unalala hapa Mzee baba siku 2 utabaki mbavu tu kilo zote na tumbo kutoa mzigo au kula wali mkavu na chai yaani unashindia huo. Hapa Mzee Baba lazima ukonde utabaki kichwa tu.
Angalizo Kama una kichwa kikubwa usitumie hiyo njia ya 2 utabaki skeleton tu.