Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani asikudanganye mtu hakuna dawa ya kupunguza unene,zaidi ya kibadilisha mtindo wa maisha yako. mfano angalia style ya ulaji wako na aina ya vyakula na saa ngapi. Mfano siyo unakulakula hovyo tuu na ukila unahakikisha mahotpot yote yamekauka.inatakiwa ujue unahitaji kula pale unahisi kula.Kiufupi ukijitafakari utajikuta ulaji na unywaji wako hauko sawa.Na hii inatakiwa kuwa ni tabia.Nisaidieni dawa ya kupunguza Kitambi ...tumbo langu linazid kuwa kubwa
Sahihi kabisa, hakuna shortcut1. Kula kwa afya - Discipline
2. Fanya mazoezi
😂 😂 😂Ni kitambi cha kitimoto?
Kupunguza stress, Kulala masaa yanayostahili na kunywa maji kwa wingi. 👌1. Kula kwa afya - Discipline
2. Fanya mazoezi
Noma sana, yataka maamuzi makali 😂Swala la kitambi ni mwiba unaochoma vibaya mno hasa endapo mwili ushakuwa mzito hata mazoezi ni ishu.
Kibaya zaidi vyakula vyote vitamu na vinono eti hutakiwi uvile ndio vinaleta kitambi. Sasa kweli mtu uache ugali nyamachoma kweli? Hebu tafakari tu kitimoto roast na ugali ndio kitu cha kukiacha kweli?
Kitambi HAKIWEZI KUISHA ndani ya wiki mbili mkuu, Labda kama tumbo limejaa gesi (Bloated).Ingia play store download app zipo kibao za kukufundisha mazoezi ndani ya week 2 tu kitamb chote kwisha.zingatia hili hakuna cha dawa wala nn fasta mapema tu unarudi sawa.
Kumbuka mazoez muhimu
HAKUNA kudanganyana Kama ingekuwa Ni kupunguza mlo TU wasingekuwa wanakwenda fanyiwa upasuaji mkuuYaani asikudanganye mtu hakuna dawa ya kupunguza unene,zaidi ya kibadilisha mtindo wa maisha yako. mfano angalia style ya ulaji wako na aina ya vyakula na saa ngapi. Mfano siyo unakulakula hovyo tuu na ukila unahakikisha mahotpot yote yamekauka.inatakiwa ujue unahitaji kula pale unahisi kula.Kiufupi ukijitafakari utajikuta ulaji na unywaji wako hauko sawa.Na hii inatakiwa kuwa ni tabia.
labda tuelezee kiufupi ratiba ya msosi kwako ikoje?
Af nimegundua kutembelea gari ndio kunalemaza zaidi yani kama appetite yako iko juu ndani ya miezi kadhaa ushakua rick rossNoma sana, yataka maamuzi makali 😂
Kweli, hata boda pia lawama. Mi ka ni mwendo mfupi, bora nitembee tu, ni save hiyo hela na bado na keep fit. Ukiwa mtumiaji wa gari sana sana, hutajua ukinenepa, ni ile pap ushafura ka hamri na shida huwezi piga zoezi 😂Af nimegundua kutembelea gari ndio kunalemaza zaidi yani kama appetite yako iko juu ndani ya miezi kadhaa ushakua rick ross
Hizi nyama za kando, za tumbo, kuzimaliza ni miaka tena hapo daily mazoezi intenseKitambi HAKIWEZI KUISHA ndani ya wiki mbili mkuu, Labda kama tumbo limejaa gesi (Bloated).
Kumaliza kabisa kitambi inategemea sana na level ya kitambi ulichonacho na inaweza chukua miezi mpaka miaka.
Wale wa upasuaji ni excess obesity, level yao hadi upasuaji kwani hata kuinua stuli hawezi yuleHAKUNA kudanganyana Kama ingekuwa Ni kupunguza mlo TU wasingekuwa wanakwenda fanyiwa upasuaji mkuu
Kinaweza Isha kwa wiki1,2au 3 kulingana na tiba lishe utakayo tumia.nilikuwa na kitambi Kama nimebeba pipa ndani ya tumbo baada ya kujilisha tibalishe kiliisha ndani ya wiki mbili TU na Sasa nafurahia maisha ya bila kitambiKitambi HAKIWEZI KUISHA ndani ya wiki mbili mkuu, Labda kama tumbo limejaa gesi (Bloated).
Kumaliza kabisa kitambi inategemea sana na level ya kitambi ulichonacho na inaweza chukua miezi mpaka miaka.
Mie nimeliacha kwa muda maana nilijaa kama Puto, af i was aging fast kabla ya umri 😁Kweli, hata boda pia lawama. Mi ka ni mwendo mfupi, bora nitembee tu, ni save hiyo hela na bado na keep fit. Ukiwa mtumiaji wa gari sana sana, hutajua ukinenepa, ni ile pap ushafura ka hamri na shida huwezi piga zoezi 😂
HahahKuna jamaa yangu alianza program ya kuondoa kitambi, alipunguza mlo na kufanya mazoezi....akaishia kuwa mwembaba lakini kakitambi bado kamechomoza, anakuwa kama ameficha kofia ya Pikipiki tumboni.
Mkuu ni Either unadanganya au haujui unachokisema Lakini kitambi hakiishi ndani ya wikiKinaweza Isha kwa wiki1,2au 3 kulingana na tiba lishe utakayo tumia.nilikuwa na kitambi Kama nimebeba pipa ndani ya tumbo baada ya kujilisha tibalishe kiliisha ndani ya wiki mbili TU na Sasa nafurahia maisha ya bila kitambi