Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kama hautaki gym basi option zilizobaki ni hizi :-

- funga ndoa na kicheche
- hamia uswahilini
- ingia jukwaa la siasa JF
- pekua simu ya mwenza wako
- Shabikia Arsenal

Kama hazijatosha nijulishe nikupatie za ziada.
kwa maana ya kwamba stress hupunguza unene..............huh,meipenda hyo
 
kwa maana ya kwamba stress hupunguza unene..............huh,meipenda hyo
wewe ndio greti thinka, unajua tiba za kupunguza kitambi kuu ni mbili tu, diet na mazoezi sasa mgonjwa akisema mazoezi hawezi inabidi umpatie prescription ya stress tu.
 
Wagonjwa wa dot com hao. Wako very specific na wanachotaka. Ndio maana nilisema madaktari wa sasa mna kazi maana mfano mimi naenda hospital nikiwa tayari nimesha google sasa nipe maelezo ya juu juu huone ntakavyokuhoji.

Mie nimeomba nielekezwe wapi naweza pata hizo majani ya chai.hayo ya jogging,maji ya moto sio ninachokitaka.
 
Umenichekesha. Nina dada yangu kaolewa mbeya. Mama alienda kuwasalimia wazee wenzake. Aliporudi wacha atuchekeshe. Anasema alipanda basi la kwenda kyela anasema watu njiani wanakula mwanzo mwisho. Mara zikipita ndizi, mtu anaita, mara mabifu, mara mayai. Sasa shughuli yake ni kubwa humo kwenye gari, watu wanaomba kuchimba dawa now and then.

Kwa kweli usipokuwa na descipline ukanenepa kuja kupungua ni ngumu sana.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Mkuu heshima mbele, nakaza miguu na nakupigia Salut. Maelezo yako matamu sana, yamenifurahisha vibaya mno. Yote uliyoeleza ni sahihi ila naweka msisitizo katika unywaji wa MAJI.
 
asee nimecheka nusu kufa asee unatisha
 
Ok tayari baadhi ya watu wame ni PM kwa ajili ya dawa za kupunguza kitambi

Safi, mwingine kupunguza tumbo na unene
 
Changanya mdalasini kijiko kimoja, pilipili manga nusu kijiko, iliki unga nusu kiijiko, tangawizi unga nusu kijiko, ukwaju fumba, Chai i Kilimanjaro kijiko kimoja, mwarubaini maji nusu kikombe na pilipili kichaa nusu kikombe. Weka maji vikombe viwili chemsha na kunywa kijiko kikubwa kutwa mara mbili.:deadhorse:
 

Aisee kisirisiri acha masihara, yani nimeonekana taahira kwani nimecheka mwenyewe nusu saa. hebu peleka hii jukwaa la jokes
 
nenda hospitali na zingatia ushauri wa daktari, usitafute shortcut itakucost sana ndugu!
 
&nbsp;&nbsp;&nbsp;nenda hospitali na zingatia ushauri wa daktari, usitafute shortcut itakucost sana ndugu!
 
acha pombe na vitimoto mkuu...............zingatia diet na mazoezi
 
Kamuone dr ndodi achana na hao wachina
<br />
<br />

Anayejiita dokta ndodi ni mshenzi, mpumbavu na tapeli mkubwa. Usipoteze muda wako kumtafuta huyo mlaghai mkubwa. Atakulia fedha zaidi ya milioni na mwisho wa siku hutaona mabadiliko yoyote. Watu wengi hivi sasa hawana hata hamu ya kumwona wala kumsikia akibwabwaja upuuzi wake kwenye tv au radio. Nashangaa sijui kwa nini serikali haijafuatilia tiba za huyu bwana na kumdhibiti mapema kabla watu wengi zaidi hawajaathirika.
 

Hapo tayari kuna conflict of interest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…