Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hadi unapata Kitambi ulikuwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DunianiHadi unapata Kitambi ulikuwa wapi?
Sasa unataka ukipeleke wapi?Duniani
Sina maana hiyo mkuu kupunguza ni neno tu ila kukiondoa ndio dhamira kwani naweza kutumia neno kupunguza kabisaaaHuyu jamaa yeye hataki kukitoa kitambi ila anataka kukipunguza, kama kilikua na kilo mbili basi abakie na kitambi cha kilo moja, Mkuu unapenda sana kitambi.
Kilipotokea kumbuka sikuzaliwa nachoSasa unataka ukipeleke wapi?
okHuyu jamaa yeye hataki kukitoa kitambi ila anataka kukipunguza, kama kilikua na kilo mbili basi abakie na kitambi cha kilo moja, Mkuu unapenda sana kitambi.
Ndugu zangu naombeni mnisaidie dawa ya kupunguza au kuondoa kitambi
Unafanyaje hiyo masaji Mkuu, ni Kama masaji za kawaida au unafanyaje??Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Ndiyo unasugua tumbo na mafutaUnafanyaje hiyo masaji Mkuu, ni Kama masaji za kawaida au unafanyaje??
Kuumbeee eee.Pamojanm na hayo yote, muache/mpunguze kula vyakula ovyo ovyo vyenye mafuta