Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo massage mnafanya na greda mkuu?![emoji1] [emoji1] mtu anapigwa massage mpaka anapata choo!!![emoji15] [emoji15]Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Hiyo ya greda ni clinic nyumbani mikono inatoshaHiyo massage mnafanya na greda mkuu?![emoji1] [emoji1] mtu anapigwa massage mpaka anapata choo!!![emoji15] [emoji15]
Sukari wanga adui namba mojaTumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Daah tunatofautiana mnoo..mi binafsi sijisikii poa kuwa na kitumbo flat.. angalau ningekuwa na vinyama kidogo
Tumbo kubwa pia limejaza nnya hakikisha unaenda choo haja kubwa walau mara saba kwa siku wengi wamebebelea nnyaTumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Hahaa pamoja mkuuMkuu unataka kitambi cha kazi gani??, hilo ni mzigo mzito plus chanzo cha kiba100 [emoji23][emoji23]
naachaje kukujua wakat uliniibia manzi anguMkuu VP unanijua Mimi
Au Mimi nakujua ww
Sijaelewa hapa!Starch + fat ndiyo mpango mzima ongeza na sugar au alcohol
Maana yake ni kuwa kula wali nyama, shushia soda na keki
Jioni ukimaliza kula shusha asas yoghurt
mkuu ebu kuwa siriaz basiTumbo kubwa pia limejaza nnya hakikisha unaenda choo haja kubwa walau mara saba kwa siku wengi wamebebelea nnya
Nilimjibu tu aliyeuliza lakini fat na starch ni vitamu mdomoni na ndiyo chanzo kikubwa cha unene. Fikiria keki au mkate na siagiSijaelewa hapa!
Ukifanya massage kwa muda mrefu unayeyusha mafuta na yanakuwa na kasi ya kutoka kwa njia ya haja kubwaSijaelewa, kinachopunguza mafuta na kitambi ni masaji au hilo zoezi baada ya masaji? Kama ni hivyo, njia pekee ya kufanya mtu ajisikie hiyo hali na kutoa uchafu ni masaji pekee?
Nnajaribu kufikiria jinsi masaji inavyopunguza kitambi hapa.
N.B
Napitia chapati za jero, niandalie tafadhali.
Kuna ubaya ukitumia zote.Hii ndo njia pekee yenye uhakika.... hizo zingne ni mbwembwe tuu hasa hizo massage, pia kibongobongo haiko feasible kabisa.
Ulijuaje numekuibua demu wakonaachaje kukujua wakat uliniibia manzi angu