Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.

Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.

Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.

Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.

Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.

Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.

Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Hiyo massage mnafanya na greda mkuu?![emoji1] [emoji1] mtu anapigwa massage mpaka anapata choo!!![emoji15] [emoji15]
 
Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.

Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.

Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.

Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.

Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.

Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.

Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Sukari wanga adui namba moja
 
Tumbo kubwa pia limejaza nnya hakikisha unaenda choo haja kubwa walau mara saba kwa siku wengi wamebebelea nnya
 
Sijaelewa, kinachopunguza mafuta na kitambi ni masaji au hilo zoezi baada ya masaji? Kama ni hivyo, njia pekee ya kufanya mtu ajisikie hiyo hali na kutoa uchafu ni masaji pekee?

Nnajaribu kufikiria jinsi masaji inavyopunguza kitambi hapa.

N.B

Napitia chapati za jero, niandalie tafadhali.
 
Ukifanya massage kwa muda mrefu unayeyusha mafuta na yanakuwa na kasi ya kutoka kwa njia ya haja kubwa
 
heshima kwenu wakuu na wageni na wanachama wa jamvi hili.
huu ni utafiti binafsi ambao umefanya kazi kwa wengi niliowaambia

kutumia maziwa ya mtindi kwa wiki tatu kama chakula chako kikuu bila kula mawanga mengine kama ugali, mihogo, wali, maandazi, chapati nk kunaondoa tumbo kubwa au tumbo mimba au kitambi.
sukari iliyopo kwenye mtindi ni kiasi kidogo kuliko wanga kamili

pia kwa wenye matatizo ya haja na mmeng'enyo mmbovu wa chukula, mtindi ni dawa. nakumbuka enzi za uhai wa babu yangu, chakula chake kikuu ilikuwa na mtindi na maziwa fresh yasiyo na sukari

onyo
ili uweze kunufaika na haya maziwa hakikisha huna kitu tunasema lactose intolarance disorder(samahani nimekosa neno la kiswahili hapa)
mtu mwenye hili tatizo anakosa enzyme inyotakiwa kutenganisha lactose
vyakula hivi pia vinaweza kumdhuru
  • Spinach.
  • Canned salmon or sardines with bones.
  • Calcium-fortified orange juice.
  • Raw broccoli.
  • Canned white tuna.
  • Calcium-fortified soy milk.
  • Dark green leafy vegetables.
  • Almonds.
na ukinywa maziwa baada ya masaa mawili utaona dalili zifuatazo
gesi kujaa tumboni
kutpika
kuendesha au kuharisha
Abdominal bloating, pain, or cramps. (maumivu ya tumbo)
Borborygmi (rumbling or gurgling sounds in the stomach)(tumbo kuunguruma)

asanteni
 
Back
Top Bottom