Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmh.. hapo kwenye kuacha ugali na wali ndio changamoto hasa kwa sisi tunaoishi na watu kwenye nyumba zetu. Nisikie harufu ya wali wa nazi na maharage nisile kweli na wakati huo nimetoka kula majani tu?Acha kula wanga kama mwezi hivi afu kila siku kimbia hata kilomita tatu lazma kiishe hicho..
Hapa usile ugali, wali, ndizi za kuiva, mikate mweupe, wewe kula protini na mboga za majani tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nakuunga mkono mkubwa...Mtu anaweza sema anafanya mazoezi ila utakuta anapiga push ups 10 anakimbia raundi mbili kwa miezi miwili halafu aspoona matokeo anasema mazoezi hayasaidii.
Maneno mawili kwako..
GO HARD
Hua nasoma nyuzi za watu humu wanadai wamefanya mazoezi ila mwili haupungui.Hapo nakuunga mkono mkubwa...
Kuna tofauti ya kutoa jasho mwili ili kutafuta hamu ya kula na kufanya mazoezi.
Yaani ufanye mazoezi kweli halafu bado uwe na kitambi!!?.
Sent using Jamii Forums mobile app
1..Tumia miguu yako (tembea your way home2ofis2home)
2.. kunywa juice ndimu/limao bila kuweka sukari..
Thanks letee mrejesho !!
Kuna tofauti kati ya 1kg ya samli na 500gms ya samli.Kupunguza portion ujazo haitamsaidia, hapo ni aina ya chakula anachokula ndiyo what matters most
rahisi sana, kabla hujaenda kula, kunywa maji mengi sana tumbo litakuwa limejaa na kusababisha ule chakula kidogo sana.Hapo ndio shida,tumbo likishatanuka hutahisi kushiba mpaka lijae,na watu wenye vitambi wanakula bwaaaana...
Hawezi mwenye kitambi apunguze kule,atafanya vyoooote atashindwa hapo...labda afanyiwe op ya utumbo kama wema sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg Mpendwa Castr!! Nimejaribu na kuhakiki kwa wanafamilia hizo Combinations (kutembea/jogging na juice ya ndimu limao without sugar) zimepunguza mwili was Kati..(abdomen) !!Hivi kwanini watu wengi hufikiria ndimu hukata mwili?
Ni stori tu hizo.
Binafsi natumia ndimu kama juisi yangu ya fasta fasta.
Limao ina Vitamin C (Kama nipo sahihi) sasa vitamin C si inakuokoa na makinda ya mdomoni tu? Inahusika vipi na kupunguza mwili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali la kijinga lakini ntakuuliza tu vyakula vya protini ndio vipi!?..
[emoji16][emoji16] hili zoezi kibokoKama kukopa huwezi nenda kaombe kibarua cha kukimbiza tofali kwenye kiwanda cha kufyatua tofali piga miezi 3 bila kukosa hata siku moja, halafu ulete mrejesho.
daaa apa sijui unanisema mimi?Rudi nyuma angalia picha yako ulivokuwa form IV au VI, je ulikuwa na kitambi?
Pale ndo ulikuwa unakula kwa kiasi,,
Hivi umeajiriwa au umejiajiri unakunywa tu misupu na minyama,,, bear, misoda, mijuice n.k
Kama umeoa mwanamke anataka uonekabe umenenepa ili ukienda ukweni/kwenu waseme "ndoa tamu ona umenenepa" mwanamke unakukaangia minyama, miyai n.k unategemea ubaki bila kitambi?
Ili kupungua inahitaji kujitoa ufahamu na kuacha kula ovyo ovyo,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kusema ndugu yangu.Ndg Mpendwa Castr!! Nimejaribu na kuhakiki kwa wanafamilia hizo Combinations (kutembea/jogging na juice ya ndimu limao without sugar) zimepunguza mwili was Kati..(abdomen) !!
Ila mi mwili wangu full kuapreciate jamani basi tu nauchezea!
Nikisema nijicommit zoezi, proteins, green vegetables+maji ya kutosha, wiki mbili tu naslim mpaka naogopa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimefanikiwa kwa hilo mzee baba... Nilikua na mtumbo huo....! Acha kabisa, ila kwa sasa niko powa kabisa,... Kwakweli nafurahia sanaNimejiajiri but sijaoa. Pombe situmii hivyo vingine kweli nilikuwa mtumiaji lakini baada ya kuona mabadiriko nikaacha. Muda mwingine huwa nafanya kunywa juice tu siku nzima lakini bado sirudi nilivyokuwa!!..
Unaweza kula salady kilo 5 na beef kilo tano lakini iimpact ni tofauti, hiyo hahitaji akili ya phd ipo wazi, chakula chenye calories nyingi ndiyo hunenepeshaKuna tofauti kati ya 1kg ya samli na 500gms ya samli.
Miezi miwili or mitatu hivi!!..