Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kama ukiweza acha kula vyakula vya wanga kabisa na pia vyakula vyenye mafuta mengi. Uwe unakula vyakula vya protein kwa wingi. .
Sikia.

Tukiwa tunanyanyua vyuma tunakua directed kula protini kwa wingi as protini hunenepesha mwili.

Ndiyo maana supplements nyingi zina protini nyingi sana.

Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?
 
Okay basi mwache aendelee kula wanga akitarajia kupungua. ..mimi kazi yangu ya kushauri nimeimaliza ni yy kuamua kuacha au kuendelea kula

Na unataka ukishauri kitu watu ambao wanajua vingine wasiseme? Smh
 
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Achana na maandazi na chapati, viazi (chips) wali, ugali na vyakula vingi vyenye wanga, vyakula vinavyokaangwa kwenye mafuta mengi. Kula nyama samaki, maini, (ukichemsha, ukachoma na hata kukaanga kwa mafuta mazuri yatokanayo na wanyama) mboga mboga, matunda yasiyo na sukari nyingi...kula vizuri, ishi vizuri
 
Sikia.

Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?

Inaonekana unabugia ma protein bila kujua hata kazi yake kwenye mwili wako..

Kazi ya protein ni kujenga mwili na na ku repair damaged tissue. Ukifanya mazoezi una kuwa na lengo hilo hilo la kujenga mwili, na unapofanya mazoezi ujue kuna body tissues zinazokuwa demaged hivyo unahitaji protein zaidi to feel good and build well

Wanga ni vyakula vinavyoupa mwili nguvu, ukila vyakula vya wanga unaufanya mwili ugenerate energy ambayo unatakiwa kuitumia, usipoweza kuitumia basi inajihifadhi kama mafuta kwenye mwili wako, hapk ndio vitambi vinaanza kujaa..

Chakula chochote kinaupa mwili nguvu, ndio maana inashauriwa kukata ulaji wa wanga kwa wingi ili kukwepa mrundikano wa mafuta mwilini, ila kama shughuli zako zinaweza kuchoma calories zote unazoingiza mwilini hamna cha kuogopa
 
Umekutia kati hii ishu. Nilishaandika kila ulichosema basi tu umeamua kuja na kuandika kwa kashfa.

Nimekua kwenye weight lifting for five years. Najua ninachokiandika.
 
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Chakula unachokula ndio sumu.
Alafu mwanamke ukiwa na kitambi kuna kitu unapoteza kwenye muonekano.
 
Umekutia kati hii ishu. Nilishaandika kila ulichosema basi tu umeamua kuja na kuandika kwa kashfa.

Nimekua kwenye weight lifting for five years. Najua ninachokiandika.
Nimekusoma vizuri, na wala sijakukashifu, labda kama uniambie kukupa taarifa uwa hujui unachokula umechukulia kama kashfa

Kazi ya protein siyo kunenepesha mwili ni kajenga mwili, ku repair tissues, organs na mifupa, protein supplements mnazopewa ni kwa ajili hiyo ndio maana unaona misuli inakaa sehemu yake.

Ukizidisha protein pia utazidisha kitambi kwa maana chakula kikishaingia mwilini kinabadilishwa kuwa energy, ukishindwa kuitumia itabadilishwa kuwa mafuta na kuhifadhiwa na mwili kwa matumizi ya baadae. Ukisave hizo energy unakuwa na utajiri wa mafuta.

Cheki mabaunsa wanaoshinda gym ila bado wana vitambi.
 
Mh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]
Lako limezidi Kama unaulizwa hilo swali

Mi nimeongezeka kiaina tu ndo vile mlaji hapendi nyama nyingi, Nina 82kgs
 
Back
Top Bottom