Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Sasa Ndo nijiachie tu...hapana.Kushindana na nature ni ngumu sana. Hususani kama kwenu ni vibonge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Ndo nijiachie tu...hapana.Kushindana na nature ni ngumu sana. Hususani kama kwenu ni vibonge.
Nini?Kumbe ndo weweView attachment 1599446
Lazima Uwe Sawa SawaSasa Ndo nijiachie tu...hapana.
Sikia.Kama ukiweza acha kula vyakula vya wanga kabisa na pia vyakula vyenye mafuta mengi. Uwe unakula vyakula vya protein kwa wingi. .
Sikia.
Tukiwa tunanyanyua vyuma tunakua directed kula protini kwa wingi as protini hunenepesha mwili.
Ndiyo maana supplements nyingi zina protini nyingi sana.
Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?
Na unataka ukishauri kitu watu ambao wanajua vingine wasiseme? SmhOkay basi mwache aendelee kula wanga akitarajia kupungua. ..mimi kazi yangu ya kushauri nimeimaliza ni yy kuamua kuacha au kuendelea kula
Achana na maandazi na chapati, viazi (chips) wali, ugali na vyakula vingi vyenye wanga, vyakula vinavyokaangwa kwenye mafuta mengi. Kula nyama samaki, maini, (ukichemsha, ukachoma na hata kukaanga kwa mafuta mazuri yatokanayo na wanyama) mboga mboga, matunda yasiyo na sukari nyingi...kula vizuri, ishi vizuriSitumii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Basi nitakuwa naumwa ugonjwa usioeleweka..😂[emoji23][emoji23][emoji23]....Mkuu hata kitambi unataka upigie punyeto
Sikia.
Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?
Umekutia kati hii ishu. Nilishaandika kila ulichosema basi tu umeamua kuja na kuandika kwa kashfa.Inaonekana unabugia ma protein bila kujua hata kazi yake kwenye mwili wako..
Kazi ya protein ni kujenga mwili na na ku repair damaged tissue. Ukifanya mazoezi una kuwa na lengo hilo hilo la kujenga mwili, na unapofanya mazoezi ujue kuna body tissues zinazokuwa demaged hivyo unahitaji protein zaidi to feel good and build well
Wanga ni vyakula vinavyoupa mwili nguvu, ukila vyakula vya wanga unaufanya mwili ugenerate energy ambayo unatakiwa kuitumia, usipoweza kuitumia basi inajihifadhi kama mafuta kwenye mwili wako, hapk ndio vitambi vinaanza kujaa..
Chakula chochote kinaupa mwili nguvu, ndio maana inashauriwa kukata ulaji wa wanga kwa wingi ili kukwepa mrundikano wa mafuta mwilini, ila kama shughuli zako zinaweza kuchoma calories zote unazoingiza mwilini hamna cha kuogopa
Chakula unachokula ndio sumu.Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Hayo ma WANGA kwa wingi ni tatazo pia.Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.
Nimekusoma vizuri, na wala sijakukashifu, labda kama uniambie kukupa taarifa uwa hujui unachokula umechukulia kama kashfaUmekutia kati hii ishu. Nilishaandika kila ulichosema basi tu umeamua kuja na kuandika kwa kashfa.
Nimekua kwenye weight lifting for five years. Najua ninachokiandika.
Punguza kula Wali Maharage sasaMh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]
Mkuu..Sina Nia ya kujiua kwa njaa.Acha kula kabisa
Mkuu..kwetu vichwa vyepesi...wote waliovuta gomba tuliwapeleka mirembe.Kula gomba kila siku,hakiyamungu utanyooka kama rula.
Basi punguza kula wali maharageMkuu..Sina Nia ya kujiua kwa njaa.
Lako limezidi Kama unaulizwa hilo swaliMh... Mimi hata sijui inch Nina kilo TU nyingi... Nashindwa vaa nguo vizuri..nshaulizwa una mimba Mara mbili.[emoji25][emoji25]