Jinsi ya kuondoa misongo ya mawazo kwa wanaume

Jinsi ya kuondoa misongo ya mawazo kwa wanaume

Abushiry

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
91
Reaction score
75
Habari wanna JF.

Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale......

Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama;
1.kuachwa na mwanamke umpendae
2.kumpenda mtu asiekupenda
3.kuwa na madeni lukuki
4.kukata tamaa/kufeli Jambo fulan mfano biashara n.k
5.na Jambo jingne ambalo ni Pana zaidi ni kujihisi una maumbile madogo

Basi ningeomba niongelee Jambo Hilo la mwisho hapo maana ndio huwapata wanaume wengi hasa wa karne hii.

-Kujihisi una maumbile madogo.
Hii kitu hutokea kwa baina ya wanaume ambapo either huambiwa na wenza wao au wao wenyewe hujihisi kitu hiki kwa kujilinganisha na watu wengine,,na hapa watu Hawa ndio uanza kuangalia video za uchi lengo lao n kupima maumbile yapo sawa au lah !

-madhara ya kusongwa na Jambo Hilo
1.daima hutojiamini na ujasiri utapungua
2.woga utakujaa especially pale utakapokua na wenzako na wakaanza mada hio
3.hutojikubali
4.wengine hali hii huwapelekea mpaka kumkufuru mwenyezi MUNGU
5.wengine hupunguza mazoea na wasichana

Je,ufanye nini ili kukabili hali hio kidume mwenzangu;
1.tenga muda mwingi was mazoezi
2.jiamini na jikubali zaidi ya ulivokua mwanzo
3.daima fikiria malengo yako ya baadae,chapa kazi Sana Kaka
4.jiwekee hali ya kuwa jasiri
5.daima zuia kujilinganisha maumbile na watu wengine maana ni hali ya ukoo hio
6.usivipe mda vitu hivo kuvifikiria
7.jitahidi Sana kua mcheshi,,na tongoza wadada kadri uwezavyo ili kupima ujasiri wako kwa face face na sio kwa simu
8.hata Kama huchezi lakin jaribu kucheza games maana huchangamsha akili
9.unapokutana kumwil na msichana ondoa wasiwas kabisaa na jiamin,,naamini atafurahia siku hiyo
10.kua karibu Sana na mwenyezi MUNGU.

Nawakilisha wakuu.
 
Hayo masuluhisho ulikuwa unaandika kujaza idadi au umeyafikiria, mkuu? Na umeongea kwa uzoefu au kitaalamu?
 
Back
Top Bottom