Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Mkuu mm naota sana ndoto nikiwa safarin safar nying zikiwa zakweny maj ila hadhifiki mwisho
 
Jana wakati nipo ndotoni niliota niko barabarani usikuu then jikajigundua apa naotaa then telekinesis is mchezo ninao penda sana nikaanza kulevitate gari uharibifu wa miundo mbinu na nn lakin kibaya sikuelewa ndoto ilipo ishia mawasiliano yalikataje sijuii ushaurr Rakims
 
Ndoto nyingine huja baada ya kusoma kitu au kufikiria kwa kipindi fulani mkuu, zipo zenye maana zilizothibitishwa na zingine hazijathibitishwa na pia inategemea umeota lini kwa hali gani katika mazingira yapi na ulikuwa vipi hizo ndio zinaweza kukupa maana ya ndoto
 
Aisee

Mimi leo nimeota nipo njiani naelekea home sasa njiani wakati natembea nikakutana na mmama mjamzito yupo chini ya mwembe anataka kujifungua

Hii inamaanisha nini Mkuu
 
Maana ni nyingi za hiyo ndoto lakini kufasiri ndoto kunataka umjue aliyeota kwanza

Rakims
 
Daah!! Yaani hapo nimekuelewa Sana mkuu. Ubarikiwe Sana, endelea kutupa darasa. Ninacho kupendea wewe sio mchoyo wa maarifa hali ya kuwa wewe huenda uliyapata kwa gharama . Mungu akubariki,
Na Mimi kwa kuongezea tu swali,. Je, inawezekana kwa mfano kesho Nina interview kampuni fulani, nika-imagine Kwanza Ile interview kwenye ndoto nikafaulu, na kwenye reality itakuwa hivyo nitafaulu?,
 
Ina maana Lucid dream Kama unapepo ukiingia unaliona, na unaweza ukaongea na malaika au viongozi wako wa kiroho ukawauliza maswali yanayokutatiza kwenye maisha na kuwauliza ni njia gani ufate ili upate suluhu Kama wakikuambia itakuwa ni kweli kwenye ulimwengu huu wa kimwili? Msaada mkuu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kaka rakims hebu nisaidie kwa kweli mm ni mmoja wa wadau wanao practise lucid dreams. Baada ya muda mrefu wa kufanya lucid dream kuna niseme sijui kiumbe au mtu ni wa kiume ila ana macho meusi ila ule mviringo(mstari) wa mboni ni mweupe kiini cha jicho na vinginevyo ni vyeusi nimeshakutana nae kwa lucid dream zangu kama mara tano hv ikiwemo na leo :
1.alinitishia kuniua kama nitastop kufanya lucid dream nikachukulia kama ni ndoto mbaya
2.nilishangaa kukutana naye mara ya pili tena baada ya muda mrefu wa kutofanya lucid dream the same man akanionya nisirudie tena kutofanya kustop lucid dream
3.nikapumzika kama mwezi hv nikakutana naye tena kwa lucid dream mara hii akanitishia ataiua familia yangu if i stop lucid dream
4.niliogopa nikapumzika kama miezi 3 nikakutana nae kwenye lucid dream tena mara hii alikuja na kunishika mikono huku amening'ang'ania kama hataki nirudi kuamka aisee ilichukua muda mrefu sana kuweza kuamka
5.leo nikaingia kwa lucid dream ambapo nilikutana na jack shein tuko bichi mbili ambazo zilikuwa sehemu moja yaani moja ipo horizontal nyengine ipo straight tukiongea mawili matatu baada ya yy kwenda kuogelea yule man akatokea mara hii akanishika mkono kwa nguvu sana na kuanza kuongea maneno fulani hivi ambayo mm sikuyaelewa( i think ni chant au spell) alivyomaliza kuongea hayo maneno nikamwona ameenda kuchukua kitu pembeni kidogo ambako kulikuwa kuna wanawake wamekaa wamevalia nguo za beach ilikuwa ni padi ya xbox ambazo zinawaya wa moja kwa moja na kuniambia leo nakunyonga nilijitahidi sana kuamka bahati nzuri ile view ilibadilika nikajikuta nipo kwa chumba changu nikizani nimetoka kwa ile lucid dream kumbe bado nipo kwenye lucid dream kuna meza huwa naweka begi langu ghafla nikamuona yule man anaamka as if alikuwa amelala kwenye hiyo meza na begi ndio tumbo lake na kifua chake ameshikilia ile waya ya xbox akawa ananisogelea aisee nilimwomba sana mungu niamke huku nikijitahidi kujikurupusha. Mungu mkubwa nilifanikiwa kuamka kabla jamaa hajanifikia



KUSEMA UKWELI HUYU KIUMBE ANANISUMBUA BALAA KILA NIKIENDA LUCID DREAM LAZIMA NIKUTANE NAE
 
Kuna muvi inaitwa Inception kacheza Leonardo Di caprio cjui kama umewah kuiona ila nlivosoma hi makala nikaona inafanana na mambo ya kwenye iyo muv. Swali langu ni kwamba nipo sahihi kwamba lucid ni kama walivokuwa wanafanya kwenye iyo muv?

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ukiweza kufanya hivyo basi hiyo interview umefaulu maana ukija kwenye interview ile hali ya imagination jana inageuka kuwa telepathic leo ambayo itawavutia wahusika only if you know what i mean

Rakims
 
Habari mkuu, lucid dream unaweza kuona pepo kweli lakini hayo mengine utayaona kwenye Astral plane

Rakims
 
ni kweli mzee nimekuwa nikifanya hii kwa miaka sasa mwanzoni sikuwa najua na nikawa na shangaa ila baadae nikaja kuzoea moja ya kitu ninachokifanya nipende hii kitu ni kwamaba nakuwa na uwezo mkubwa wa nguvu hata kije kiumbe cha aina gani hata watu 1000 wakiwa na mapanaga huwa napambana nao maana najua sio kweli, siumiee ni kila nitakachokifanya na pia unaweza kutengeneza mazingir ana kuyaishi ndani ya ndoto kwa wakati huo huo mfano kuna siku niliota na kimbizwa na watu siwajui nikacreate kama sheild fulani wakawa wakirusha mawe hayanikuti ...pia inanifany akila ninaota kila siku au niseme kila mara ninapopata usingizi halafu unakuta unaunganisha matukio uliyoyaona siku hiyo na kuendelezea na kualazimisha yawe kama unavotaka ila hasra yake naona naweza kuamka nimeota ndoto wakati mwingime nashindwa kuotofautisha kama tukio niliona au niliota ndo hapo ninapo shangaa
 
Habari mkuu lucid dreaming ukikutana na kitu kama hiki means kwamba katika kichwa chako kuna kiumbe kichafu yani kuna pepo mchafu ambaye in reality world ukikaa utakuwa unajikuta ni mtu wa kuhisi nyuma mtu anakufuata mwili kusisimka hovyo kichwa kugonga na kuacha na woga bila sababu..
Ili kuweza kuondoa hili fanya tena lucid dreaming kisha katika ndoto hiyo ukimuona chora mstari mbele yako kisha mwambie subiri hapo ulipo kwa jina la Mwenyezi Mungu, wa kweli mwenye kujua yasiyojulikana na yanayojulikana, hutasogea kwangu ila utaumia huta rudi nyuma ila utaumia sio magharibi mbili wala mashariki mbili juu wala chini hutatoka hapo ulipo hadi pale nitakapokuruhusu.

Kisha utaona kaduwaa na akijigeuza kuwa kama mtoto anayelia au mwanamke anaeonewa kisha utachora pembe tano chini kwa ncha ya kidole na utachora kwa mtindo wa kubanish sio kuawaken yaani utaanza juu kuja chini kisha utazungusha duara hiyo pembe tano ya nyota kwa kufunga sio kufungua kisha utamwambia apa kuwa hutanifuatilia tena na leo ndio mwisho wa roho yako na yangu kuwa pamoja.. atakubali kisha atakupasiri itakayo kushangaza hadi utakapoamka.

NB:
Hii ni njia tunatumia ukitoka nje ya mwili na kuna kiumbe kinakufuatilia ambacho hukielewe...

Njia nyingine rahisi zaidi ni kuamsha mitetemo yako hutaona chochote cha kukukwaza kama hivi either uwe kwe Astral projection au Luci dream

Rakims
 
Mule wamezidisha chumvi na mtama the same kwenye movie ya doctor strange nao wamechanganya Astral Projection,lucid dream, imagination na visualization na magic sehemu moja

Rakims
 
hahaha lucid dream zinafurahisha
 
Hii hutokea pale mlango unaopitia kwenda lucid dreaming unakuwa karibu na mlango wa kutoka nje ya mwili, jitahidi kuanza meditation maana unaonekana unaweza kuwa unatoka nje ya mwili kwa higher vibration

Rakims
 
Hii hutokea pale mlango unaopitia kwenda lucid dreaming unakuwa karibu na mlango wa kutoka nje ya mwili, jitahidi kuanza meditation maana unaonekana unaweza kuwa unatoka nje ya mwili kwa higher vibration

Rakims
me naipenda sana maana kuna matukio nayaota halafu katika maisha yakawaida kama kauli mtu anaweza kunambi akwenye ndoto sasa nikiamka unakuta mara nyingine anaiambi au kauli ya kufanana na hiyo hiyo hahahaah na enjoy sana maana this world is amaizing
 
Si hayo tu mkuu lakini pia unaweza kumtumia mtu ndoto na akaota vile unavyotaka kupitia humo vilevile matabibu hutumia njia hii kuongea na majini au mizimu

Rakims
yeah kuna siku niliwahi kusoma mahala but kuna ex wangu mmoja nilikuwa sana nataka kuongea naye sasa nikaforce sana kukutana naye kwanye ndoto kitu kama wiki akanitafut asasa sijui hii theory ni ya ukweli au ilikua coincidence tuu,,,ngoj leo nitajaribu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…