Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

me naipenda sana maana kuna matukio nayaota halafu katika maisha yakawaida kama kauli mtu anaweza kunambi akwenye ndoto sasa nikiamka unakuta mara nyingine anaiambi au kauli ya kufanana na hiyo hiyo hahahaah na enjoy sana maana this world is amaizing
Endelea kupractice lakini tumia kwa faida usitumie kwa starehe tu mkuu
 
Ndoto ni mlango wa kuzungumza kiroho mkuu ukitaka kuthibitisha kweli basi fanya kwa njia nyinyine tena utaona ajabu ya Mungu

Rakims
 
Hii hutokea pale mlango unaopitia kwenda lucid dreaming unakuwa karibu na mlango wa kutoka nje ya mwili, jitahidi kuanza meditation maana unaonekana unaweza kuwa unatoka nje ya mwili kwa higher vibration

Rakims
Mkuu nisaidie na hapa, hivi kwa mfano mtu kaingia ndani ya lucid dreaming na humo ndani ya lucid dreaming akafanya meditation akafanikiwa ku-unlock chakra zake, na kufungua third eye, Je akiisha amka kwenye uhalisia atakuwa amefunguwa au haiwezekani? Msaada mkuu
 
Ndoto ni mlango wa kuzungumza kiroho mkuu ukitaka kuthibitisha kweli basi fanya kwa njia nyinyine tena utaona ajabu ya Mungu

Rakims
halafu kuna siku niliwahi kuota nimelala halafu niakota tena hivi hii inakuaje?
 
Shida ya lucid dream ukizidisha tu utulivu unaamka, lucid dream ni kama disco ambayo nyimbo inayokuja wewe unacheza tu naongea kwa experience maana hata sisi tuliobobea ukikaza sana kuweka hali fulani inakugeuzia ndoto wengine huumwa vichwa ndio maana mimi hupendelea zaidi kutoka nje ya mwili pale unachofanya kina weza kuleta effect zaidi katika maisha ya kweli

Rakims
 
Si hayo tu mkuu lakini pia unaweza kumtumia mtu ndoto na akaota vile unavyotaka kupitia humo vilevile matabibu hutumia njia hii kuongea na majini au mizimu

Rakims
Kama itakupendeza mkuu, tupe maelekezo kwa faida ya sisi wanafunzi wako
 
halafu kuna siku niliwahi kuota nimelala halafu niakota tena hivi hii inakuaje?
Mwisho huwa ni 3 mkuu ikizidi hapo muhusika anadalili ya kupata stroke mfano umelala ukaota umelala kisha ndani ya hiyo ndoto ukaota upo usingizini kisha ukaota tena umelala basi hapo akikugusa mtu inaweza kuleta madhara
Maana unakuwa too much calmed

Rakims
 
Mkuu kuna video niliiona YouTube binti mdogo huko India anasoma maandishi na kutambua vitu mbalimbali huku amefungwa macho kwa kitambaa. Hiyo ni faida ya Astra projection, kufungua third eye (chakras) au lucid dreaming?
 
Mkuu kuna video niliiona YouTube binti mdogo huko India anasoma maandishi na kutambua vitu mbalimbali huku amefungwa macho kwa kitambaa. Hiyo ni faida ya Astra projection, kufungua third eye (chakras) au lucid dreaming?
Kuna mawili:

1: either ni trick wanafanya kutapeli watu

2: either ana uwezo wa mediumship nguvu ya muujiza inayomfanya mtu kuweza kuongea na majini

Rakims
 
Kuna mawili:

1: either ni trick wanafanya kutapeli watu

2: either ana uwezo wa mediumship nguvu ya muujiza inayomfanya mtu kuweza kuongea na majini

Rakims
Niwie radhi mkuu kwa maswali yangu. Meditation sahihi inafaa kufanywa mtu akiwa amelala au ameketi. Mi Mara nyingi huwa najaribu kufanya nikiwa nimelala chali na matokeo yake nakuja kushtuka asubuhi nikiwa sikumbuki chochote. Swali lingine youtube kuna sound beats za meditation (binaural vibration) nikweli huwa zinasaidi au hazisaidii?
Na kama zinasaidia mbona inasemwa kuwa meditation inahitaji utulivu wa hali ya juu sana, Sasa kwenye beats mbona kunakuwa hakuna utulivu tena?
 
Asante mkuu kiukweli hizo hisia ulizozisema ndo zimeongezeka sana yaani nahisi kuna muda mru kama ananichungulia mara nyingine nahisi kama myu ananifata mpaka kuna siku nimeamka nasoma usiku wa saa 8 hv nikasikia kabisa mtu ananiita nikienda sioni kitu wala mtu sometimes nahisi nyayo ya mtu inatembea.
 
Upo vizur Allah akulipe ishaallah
 
Duh hii kitu ngumu San hata alarm nlioteg sijaiskia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yangu kulikoni?? Mm nimefanikiwa coz hizi ndoto naziotaga Sana ila nilikuwa sijui Kama ndohizi
 
Je ukitaka kujua anaekufuata kichwani ndotoni nifanyeje nataka kumuoji nini dhamira yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…