Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

seems not to help try again...!! think more

nilikua nakukubali sana Rakims kwa jinsi ulivyokuwa-deep kwenye hii sector yako ya mauza_uza ila ulinishtua ulipoanzisha zile donations za bundle ndio maana ukani-block kwenye ile group yako haram ya whatsapp ulipoona si-respond, now you have killed their trust on you, nobody trusts you now brother, Rudisha zile fedha ulizo watapeli wakina Mshana Jr
 
Na me nimemwambia mkuu, arudishe hela zetu baaaasii maana ametuibia sana, huyu jamaa ni tapeli mjanja.
 
umejitahidi sana kueleza ila ni ndoto pekee ndio mwenyezi Mungu anakudhihilishia kuwa yupo na yeye ndio msanii mkuu wa kuziandaa,na kupitia ndoto unaweza kutumikia jehanamu kwa kuchomwa na kutubu miaka elfu ingawa wewe utalala usiku huohuo mmoja ila ndani ya ndoto utateswa miaka elfu ndio maana mtu anaweza kuamka akakimbilia kanisani kutubu kama sio kuokoka kabisa ila asiseme nini kimempata,tena anaweza kuongea nawe.hakuna cha majini wala bibi yake majini,ndio sababu manabii wote wameongozwa kupitia ndoto hata wagunduzi maarufu wamekiri hili Idd Amini alikuwa sawa kuamini ndoto mana ndie aliemelekeza kuwa hivyo kwa sababu maalumyaweza kuwa kujenga historia ya taifa fulani na kuongeza mshikamano maana matatizo hujenga umoja.kumbuka Farao alipewa moyo mgumu na Mungu mwenyewe 😛oa:llama:
 
Mungu yupi? Tafadhali fafanua!.
 
Fafanua sasa huyo Mungu anayeandikwa kwa herufi kubwa ni yupi! Maana hata mimi naweza kujiita Mungu kwa herufi kubwa.
ni anaejua watu wote duniai wanawaza nini na anajua kitendo kabla hujafanya wote duniani na wanyama na ndege na kila chenye pumzi,anaweza kumfikirisha jogoo akakufukuza au kumkasilisha mbwa na akakukimbiza kukuokoa na hatari na ni yeye anaeweza kukufikilisha kumuoa mtu yoyote duniani hata awe na kichwa tu bila na kiwiliwili na watu wakastaajabu wakati wewe unakuwa umepewa hali ya kuona raha kuwa nae,namzungumzia yeye ambae anatawala kila kitu ktk mwili wako na anaweza kukigeuza chochote kikawa mateso makubwa ktk dunia hii hata ukamuona yeye tu ndie mwokozi na sie mzazi wala ndugu ndie maana tukapata maneno hata watoto wako au wazazi wanaweza kukusaliti.huu ndie MUNGU AWAWE YOTE NA ASIEONEKANA NA SIKU UKIMUONA NDIO BYEBYE MUSA ALITAKA KUMUONA ILA ALIKINGWA NA MKONO WAKE,KIFUPI NI KAMA MWANGA AU MWALE MKALI,AMINI NAKWAMBIA HUMUHUMU DUNIANI KUNA WATU WAMEUONA UFALME WA MUNGU KAMA MAANDIKO YALIVYOSEMA SEMA HAWAWEZI KUWEKA WAZI MAANA WENYE IMANI KALI WATASEMA SIE TUMEKUWA WACHA MUNGU MIAKA YOTE WEWE NANI,NDIO KILICHOMPONZA MASI ILA MIE SIJAUONA HE HE!!NAEMJUA KWA UCHUNGUZI WANGU USIO RASMI HUENDA ASKOFU TORTOISE-kwa maelezo yake wanaojua wanajua ila unakausha:llama:
 
Zitaje sifa zake mbaya kabla sijakuuliza maswali.
 
Wote waliouna ufalme wanasifa mbaya au nzuri ili kuiongoza jamii.nitakwambia hata wanaojiuza ni kwa mpango wake ndio mana wazungu wameruhusu na hata masia aliwafikia na kukaa nao.na ndio wengi wanamjua Mungu wengine hunyang'anywa au kujiuzuru nyazifa kubwa kujenga mfano kwa mamlaka za vizazi vijavyo.watu wanajua ila wamekausha ndivyo Mungu anavyofanya kazi.ila nikudokeze malaika na shetani ni sisi wenyewe wanadamu humuhumu hujawahi kujitazama kwenye kioo mpaka ukajiogopa kwa namna ulivyong'aa yaweza kuwa nadra kutokea kisha mng'ao ukaisha ukijitazama tena yani tunabadilikabadilika na anaetubadilu ni yeye.sina shaka juu ya whites kuwa super race and blessed ikiwa umepata bahati ya kukaa nao
 
Back
Top Bottom