Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Daah,leo nimeota mchana kuwa mke wangu nimemkamata ugoni na kumtalaka,pia nilimpiga sana ila pindi nampiga alikuwa haumii,nilianjoy sana hii ndoto,sijui ina maana gani,msaada wadau
 
Kuota Na huku nikijua kuwa naota inanitokeaga kwa baadhi ya ndoto, km ndoto mbaya huwa najiamsha,

Kuna ndoto niliota hiv majuzi napaa angani, hakika niliifurahia sana nilitamani niendelee kuwa ndotoni lkn ndo hivyo tena
 
Habari Zenu Wanajukwaa Naileta Kwenu Mada Mpya Ya Lucid Dreams(Uelewa Ndotoni)....

LUCID DREAMS:


KWA KUANZA:

Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani Ya Ndoto Ile Akajielewa Kwa HumuNaota Na Kufahamu Kwamba Hapa Nilipo Nimelala Na Humu Nilimo Ni Ndotoni Nakuanza Kuenjoy Mazingira Ya Mule Ndotoni Na Kufanya Mengi Atakayo&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Lakini Pia Kuna Watu Huota Na Kujijua kwamba Wanaota Bila Mazoezi Ya Lucid Dreams lakini Inakuwa Sio Kama Lucid Dream Vile Utakavyo Vifanya
Hakuna Tatizo Lolote Unaloweza Kulipata Ndotoni Kwa Maana Ni Ubongo Wako Ndio Ufanyao Kazi..

JE NI FAIDA ZIPI ANAZOZIPATA LUCID DREAMER ?


1: Maajabu Na Miujiza Kibao
2:kuzishinda ndoto za kutisha
3: Ubunifu Na Kuondosha Matatizo
4: kujiponya
5: Mambo Mengi Yaliyopita
6: Kupata Muongozo what He Was Meant To be.. 7: Kuliwazika Na Ndoto Zake
8: Kuongeza Uelewa Wa Maisha Yake Yakimapenzi
9: Kupata Uchangamfu Siku Nzima
10: Kusaidia Kuwasiliana Na Roho ZaWaliotangulia Mbele Za Mungu
11: Kwa Wanaofanya Meditation HuwasaidiaKuongeza Awareness Katika Meditation

Zipo Faida Nyingi Lakini Hizo Ni ChacheZibebazo Topic......

Kwanini Nifanye Lucid Dreams?

Ni Swali La Wengi LakiniChunguza Faida Zake Zikikuvutia utafanya lakini pia Hukusaidia Kufanya MengiAmbayo Unawish Ungeweza Kuyafanya Katika Ulimwengu Wa Kawaida Kama Vile:

1: Kupaa
2:kupongezwa
3:kupata chochote kile unachohisi in real world hukipati

Wengi Huingia Kuuliza Power Zao Wapi Wataweza Kuhunt MoneyNa Starehe Lakini Kuna Mazuri Zaidi Ya Hayo Kwanza Ukishajua Hapa Naota Na Nimo Ndotoni Utatamani Uzunguke Dunia Nzima But Mengi Huwa Ni Kweli Kwa MaanaUnakuwa In Spirit Form Au Thought Waweza Kwenda Popote Kula Lolote Na KufanyaChochote Kuna Faida Nyingi Sana Do It And You Will Feel It&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Vivutio Vya Wengi In Lucid Dream World:

1: Maajabu Na Miujiza:

Hii Huwavutia Wengi Kuingia Kudiliki Kufanya Mazoezi Yalucid Na Kufanya MAajabu Mengi Ya Ndotoni
Wengi Hudiliki Kutoa Hadithi Walizotengeneza Kwenye LucidDreams NA Kuziandika In Real World Kama

1: TheWachowskis: Alieandika Movie Ya Matrix Kama Umewahi Kuiona..
2: Lewis Carroll:Alieandika Novel Ya Alice In Wonderland..

Tafuta HizoMovies Na Novels pia Zitakupa Idea Kuhusu Lucid Dream..

2: Kuzishinda Ndoto Za Kutisha Na Kipumbaff

Hapa Unakuta Unaota Unafukuzwa Let say Mfano Unahisi KukimbizwaNa Watu NA Huu Ni Ugonjwa Wa Wengi Let Say Umeweza Kuingia Lucid Dream State.

Na Ukajijua Unaota Wengi wakijua wanaota huanza kupigana na majinamizi au wachawihao ambayo pia inakuwa ni ujinga hali ume realize unaota unasimama tuunaamrisha zina disappear na unaamuru nini cha kufanya au kujiamsha&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Nice Isnt It ?


3😛roblem Solving:

Wengi Matatizo Yakiwakaba Hukimbilia Kusubiri ItakavyokuwaLakini Ni Udumazaji Wa MAwaza Ukiingia Lucid NA kuanza Kujisolvia Tatizo LakoUtapata Muongozo Mwisho Wa Siku Unafanikiwa?

JE Wajua Niliwahi Kujifunza kingereza Cha Kuunga UngaKupitia lucid Dreams???

4: Healing/Kujiponya:

let Say UmeumwaKichwa Au Mwili Mzima Kwa Wanaofanya Meditation Tuassume Unaumwa MaraliaUnaingia Lucid hukusaidia Kuopen Third Eye Na Kufungua Chakra Zingine If OnlyUnameditate In Dream Na Umelala Unaota Umelala Chali You Will Wake Up Healed OrReduce Pain Maana Tunaumia Kutokana Na Ubongo Kutambua Tumeumia&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];.. naHatufanikiwi Kutokana Na Ubongo Umeamua Hatufanikiwi Kweli.

Ni Maelezo Marefu Mengine Tutaendelea Naangalia ItapokelewaVipi Hii Mada hapa Kwanza&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Bila Kupoteza Muda Wacha Tuingie Jinsi Ya Kufanya Zoezi IliTujue Zaidi Nini Tutapata Na Je Tutafika MAelekezo Ya Rakims Yanavyokwenda ?

JINSI YA KUFANYA LUCID DREAM KWA BEGINNERS:

Waweza Kujiandalia Mazingira Yako Ya Kupata lucid Dream naIkaleta effect Upesi Zaidi UNachotakiwa kufanya Ni kuandaa Daftari Lako LaKufuatilia Ndoto Unazoota Na Mara Kitu Kikikutokea Cha ghaafla penda sanakujiuliza hivi naota au?

Penda sana pindi unapojiangalia kwenye kioo ukijionajiulize pia naota Au? Lakini Ukiiona sura yako kwenye kioo means huoti nausipoina jua upo ndotoni Ni Ngumu Kidogo Kujua Kama Unaota au laa lakini KwaMazoezi Utajua tu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];..


Hatua Za Kufuata:

1: Utatakiwa Upate Kitabu Cha Ndoto Zako Counter ook&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; DreamJournal

2: Saa Ya Alarm

Step ya Kwanza:

Weka daftari yako pembeni ya ulalapo ili uweze kuandika kilakitu ambacho utaota usiku wote

Step Ya pili:

Angalia kitabu chako kioo na saa yako mara kadhaa kwa sikumaana ndotoni hizi zote huwa tofauti ndotoni maana huyumba yumba nakutoeleweka.. jifinye finye sehemu za mwili ili kitokea unajifinya ndotonihuumii basi unajua humu nimeingia ndotoni..

Step ya Tatu:

Ukienda kukidandia kitanda jiambie nikiota leo lazima tajuatu fanya kama command ubongoni kwamba nikiota tajua tu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Step Ya Nne:

TEgesha Alarm Yako Mapema Zaidi Ya Kawaida Na Ikilia subiridk kama sita halafu urudi tena kulala kufanya hivi utakuwa umeongeza asilimiaza kupata lucid dream 20% hadi 50%

Step Ya Tano:

Ukihisi Umeingia Kwenye Lucid Dream Jaribu Kupaa Juu Juu iliKuthibitisha Hili&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Paa juu ya milima.. Pia Jaribu Kupika Hesabu Ambazo HuwaZinakushinda Na Maswali Yakushindayo Kujibu.. Jaribu Kufikiria Ndugu Yako GaniUmpendae Ametangulia Mbele YA Haki Na Kuongea NAe Akirespond Kile UmemuulizaBasi Jua Unaanza Kuingia Lucid Dream World

N.b

Jambo La Kuzingatia Hapo Ni Pale Unapoenda Kulala HakikishaHujikuni Ovyo Wala Kujigusa Gusa popote Ukilala lala Ubavu Mmoja Huo Huo IliUweze Kufanya Mwili Ujue Umelala Hali Ya Kuwa Upo Macho&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];.

Itaendeleaaaaa !

&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8217[/HASHTAG];Rakims&[HASHTAG]#8217[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8217[/HASHTAG];


Nilibahatika kuusoma uzi huu muda mlefu sana uliopita, kiukweli ulinivutia na kunigusa sana, ila nasikitika sana sikuweza kuchangia chochote kwa kuwa sikuwa nafahamu chochote kuhusu lucid dreams.
Kiualisia nilishasahau kabisa thread hii, lakini kumbe ubongo wangu ulikalili na kunote kila neno na maelezo na kujijengea taswila halisi, Sasa nimejikuta katika hali yatofauti sana, 1: kupitia ndoto nimeweza kuisoma thread nzima vizuri kabisa na kuielewa, na ikiwa nimesoma kitabu au hadithi au thread yoyote na ikanigusa, basi kila kitu kinajirudia ndotoni nakioma wazi wazi. kupitia lucid dreams nimeweza kutafuta kitabu adimu sana, na nikaweza kufahamu wapi nitakipatq na kweli kesho yake moja kwa moja nikakipata, sio mgeni tena wa maajabu na ugunduzi. Nikama mzaa lakini nimeweza kusafili pande nyingi za dunia kupitia lucid dreams
 
Nilibahatika kuusoma uzi huu muda mlefu sana uliopita, kiukweli ulinivutia na kunigusa sana, ila nasikitika sana sikuweza kuchangia chochote kwa kuwa sikuwa nafahamu chochote kuhusu lucid dreams.
Kiualisia nilishasahau kabisa thread hii, lakini kumbe ubongo wangu ulikalili na kunote kila neno na maelezo na kujijengea taswila halisi, Sasa nimejikuta katika hali yatofauti sana, 1: kupitia ndoto nimeweza kuisoma thread nzima vizuri kabisa na kuielewa, na ikiwa nimesoma kitabu au hadithi au thread yoyote na ikanigusa, basi kila kitu kinajirudia ndotoni nakioma wazi wazi. kupitia lucid dreams nimeweza kutafuta kitabu adimu sana, na nikaweza kufahamu wapi nitakipatq na kweli kesho yake moja kwa moja nikakipata, sio mgeni tena wa maajabu na ugunduzi. Nikama mzaa lakini nimeweza kusafili pande nyingi za dunia kupitia lucid dreams
congratulation. ..
 
KUTOKA KWA:

Ubarinolutu..... Anasema:

Hii ni hadith yangu fupi,iliyonipelekea kuweza kukontrol ndoto tunazoota usiku ability itakayokufanya kupaa, vilema kutembea ndoton, na kukabili ndoto za kutisha.

Siku moja nilikuwa nimeenda kikazi iringa kutokea dar, nikalala gest moja pale mjini, kiukweli siku hyo niliota ndoto ya kuogopesha. Nilikuwa naota nimelala halaf mtu wa ajabu akanishka mkono, ile hofu nkastuka nimeamka na alinishika mkono alikuwa ni ndugu yangu marehemu.kuamka nikajikuta nipo nyumbani, mimi ,baba na ndugu zangu kaka/dada, tunaendeleza maisha kama kawaida, kumbe wakati naamka niliamkia ndotoni(false awakening) na wala sikujua na sikukumbuka kama ndugu yangu alishafariki. Mda ukapita kidogo nikaamka tena mara ya pili kwenye reality. Nikaja kumbuka yule ndugu yangu alifariki , saa 8 usiku hyo. Nililia sana mwanaume kwa masaa 3+, nilijua mzimu.

Baada ya kuona hvo kama kawaida wa tz nikaanza tafuta majibu kwanini hiwe ivo, nikaingia google. Nikaona huku watafiti wamestate aina tofauti za ndoto na ile yangu wakaiweka ni ""dream in a dream"" yani wanadai mtu huota hii ndoto kwa ajili ya protection, wanadai ingeniathiri kisaikolojia kama ningeota marehemu kanshka mkono ambapo ningeamka nisinge mkuta, ndo mana nikaota ya pili ndo nikaamka atleast niliona ni valid.


Tuje kwenye maada kuu. Katika kutafuta majibu google, walielezea aina moja ya ndoto inaitwa "LUCID DREAM" Lucid dream ni pale unapoota ndoto na kutambua sasa upo ndotoni, wataalamu wanadai ukiweza ukaota ndoto na kugundua unaota kabla ndoto haijaisha unakuwa na uwezo wa kukontrol ndoto yani unauwezo wa kupaa kama ndege, una uwezo wa kwenda nchi yeyote, unauwezo wa kukutana na mtu yeyote, kufanya mapenz na mtu yeyote duniani, kama ni kilema utaweza kuwa na miguu na kutembea.watalamu wanadai lucid dream unaweza kujifunza/learn. Pitieni google mjifunze zaidi, mi mungu amenisaidia kuweza kujifunza lucid dream, na ndoto nilizocontrol chache ni hzi.
1. Nimeshafanya mapenzi na msanii jokate mwigilo kupitia kucidy dream
2.nimeweza ongea na kuonana na kikwete,obama
3. Nimeshapaa kama ndege
4.jana nilipambana na ndoto ya kutisha bila kuogopa.
5. Nimemiliki majumba makubwa
6. Nimetembea na mfanyakaz wa offsini kwetu, nilimwita jina tu akaja.

Yani kiufupi ni unique na amazing experience. Tafadhali pita google ukajifunze hii kitu, hata ukitaka nini unapata, chochote, unauwezo hata wa kuua adui yako, nishaua mtu kupitia huku. I hope u learn.....
Pia unaweza ukarudi kwenye ndoto kama iliisha ghafla mathalani ulikuwa unamvua binti nguo sasa ndoto ikataka kuisha unatulia unarudi ndotoni unamaliza mchezo, raha sana
 
Sasa hapa inasaidia nini kuota tu, Umeota unamajumba makubwa, umeyapata sasa?. Umeota umetembea na Joketi, je umempata kweri? Kama ni kuota tu na hupati kitu katika ukweri ya nini kujihangaisha?
Kwani u apotazama movie au kucheza games za kompyuta na kujiburudisha unafaidi nn tena mfano ukaota umejenga kajumba si inaweza ikakupa hata hamasa ya kujenga na mfano unapotoka sehemu moja na kwenda nyingine katika ulimwengu wa kawaida huwa hujifunzi kitu kipya kutoka ugenini?
 
Je inawezekana kwa mtu ambaye haoti mara kwa mara?, Sijui kwa watu wengine ikoje ila kwa Mimi ni huwa mara chache sana naota ndoto sielewi ni kutokana na uchovu wa kazi nyingi au la ila mara nyingi nikilala ni fo fo fo nikishtuka ni asubuhi
 
Duuhh unaweza kuamua kuzunguka dunia afu ghafla unaamka unajikuta msitu wa kongo cjui utarudi vp?!ndo hao wanaokufa usingizini.au nilishaskia mfano umelala usiku ilhali nyama ya kuku iko ktk sufuria we ukalala huku unaitamani usiku roho inaweza kwenda kufunua ila ombea isije kufunikiwa humo ndo huamki hivyo kwaheri
 
Duuhh unaweza kuamua kuzunguka dunia afu ghafla unaamka unajikuta msitu wa kongo cjui utarudi vp?!ndo hao wanaokufa usingizini.au nilishaskia mfano umelala usiku ilhali nyama ya kuku iko ktk sufuria we ukalala huku unaitamani usiku roho inaweza kwenda kufunua ila ombea isije kufunikiwa humo ndo huamki hivyo kwaheri
Hii Ni Lucid Dream Sio Astral Projection,

rakims
 
Back
Top Bottom