Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Daah,leo nimeota mchana kuwa mke wangu nimemkamata ugoni na kumtalaka,pia nilimpiga sana ila pindi nampiga alikuwa haumii,nilianjoy sana hii ndoto,sijui ina maana gani,msaada wadau
 
Kuota Na huku nikijua kuwa naota inanitokeaga kwa baadhi ya ndoto, km ndoto mbaya huwa najiamsha,

Kuna ndoto niliota hiv majuzi napaa angani, hakika niliifurahia sana nilitamani niendelee kuwa ndotoni lkn ndo hivyo tena
 
Nilibahatika kuusoma uzi huu muda mlefu sana uliopita, kiukweli ulinivutia na kunigusa sana, ila nasikitika sana sikuweza kuchangia chochote kwa kuwa sikuwa nafahamu chochote kuhusu lucid dreams.
Kiualisia nilishasahau kabisa thread hii, lakini kumbe ubongo wangu ulikalili na kunote kila neno na maelezo na kujijengea taswila halisi, Sasa nimejikuta katika hali yatofauti sana, 1: kupitia ndoto nimeweza kuisoma thread nzima vizuri kabisa na kuielewa, na ikiwa nimesoma kitabu au hadithi au thread yoyote na ikanigusa, basi kila kitu kinajirudia ndotoni nakioma wazi wazi. kupitia lucid dreams nimeweza kutafuta kitabu adimu sana, na nikaweza kufahamu wapi nitakipatq na kweli kesho yake moja kwa moja nikakipata, sio mgeni tena wa maajabu na ugunduzi. Nikama mzaa lakini nimeweza kusafili pande nyingi za dunia kupitia lucid dreams
 
congratulation. ..
 
Pia unaweza ukarudi kwenye ndoto kama iliisha ghafla mathalani ulikuwa unamvua binti nguo sasa ndoto ikataka kuisha unatulia unarudi ndotoni unamaliza mchezo, raha sana
 
Sasa hapa inasaidia nini kuota tu, Umeota unamajumba makubwa, umeyapata sasa?. Umeota umetembea na Joketi, je umempata kweri? Kama ni kuota tu na hupati kitu katika ukweri ya nini kujihangaisha?
Kwani u apotazama movie au kucheza games za kompyuta na kujiburudisha unafaidi nn tena mfano ukaota umejenga kajumba si inaweza ikakupa hata hamasa ya kujenga na mfano unapotoka sehemu moja na kwenda nyingine katika ulimwengu wa kawaida huwa hujifunzi kitu kipya kutoka ugenini?
 
Je inawezekana kwa mtu ambaye haoti mara kwa mara?, Sijui kwa watu wengine ikoje ila kwa Mimi ni huwa mara chache sana naota ndoto sielewi ni kutokana na uchovu wa kazi nyingi au la ila mara nyingi nikilala ni fo fo fo nikishtuka ni asubuhi
 
Duuhh unaweza kuamua kuzunguka dunia afu ghafla unaamka unajikuta msitu wa kongo cjui utarudi vp?!ndo hao wanaokufa usingizini.au nilishaskia mfano umelala usiku ilhali nyama ya kuku iko ktk sufuria we ukalala huku unaitamani usiku roho inaweza kwenda kufunua ila ombea isije kufunikiwa humo ndo huamki hivyo kwaheri
 
Hii Ni Lucid Dream Sio Astral Projection,

rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…