wataalam habar zenu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kuchukua movie ama video ama audio ama picha nilizopenda kutoka you tube maana nashindwa kabisa naona share tuu wala sion download.msaada wenu jaman
Uko sahihi mkuu.!Tubemate ndo mpango mzima, TubeMate YouTube Downloader 2.2.4 - Official Website
Je unatumia simu au computer?
Njia rahisi ni ku_edit url ya video husika na kuweka SS
Mfano: Unatazama video yenye hii link YouTube.........
Ili uweze download hiyo video edit sehemu ya mwanzo na iwe: ssyoutube.com/watch.........
Kisha bofya enter na browser itafungua page nyingine na utaweza download hiyo video kwa kuchagua moja kati ya link zitakazo jitokeza.
Tubemate ndo mpango mzima, TubeMate YouTube Downloader 2.2.4 - Official Website
wakuu mwanzoni nilikuwa nadownload video youtube vizuri tu bila tatizo ila sasa hivi nikataka kudownload any video youtube kwa kutumia IDM ileile nayotumiaga napata message kwamba
"The server replies that you dont have permission to download this file.
Details
HTTP/1.1 403 Forbiden"
wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuendelea kudownload youtube videos via my IDM?
Labda nikuulize unatumia Proxy servers kwenye IDM?
Kama unatumia proxy basi jua hiyo proxy hai support Youtube jaribu nyingine:cool2: