Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
wataalam habar zenu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kuchukua movie ama video ama audio ama picha nilizopenda kutoka you tube maana nashindwa kabisa naona share tuu wala sion download.msaada wenu jaman
Je unatumia simu au computer?
Njia rahisi ni ku_edit url ya video husika na kuweka SS
Mfano: Unatazama video yenye hii link www.youtube.com/watch.........
Ili uweze download hiyo video edit sehemu ya mwanzo na iwe: ssyoutube.com/watch.........
Kisha bofya enter na browser itafungua page nyingine na utaweza download hiyo video kwa kuchagua moja kati ya link zitakazo jitokeza.