Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

wataalam habar zenu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kuchukua movie ama video ama audio ama picha nilizopenda kutoka you tube maana nashindwa kabisa naona share tuu wala sion download.msaada wenu jaman

Je unatumia simu au computer?

Njia rahisi ni ku_edit url ya video husika na kuweka SS

Mfano: Unatazama video yenye hii link www.youtube.com/watch.........

Ili uweze download hiyo video edit sehemu ya mwanzo na iwe: ssyoutube.com/watch.........

Kisha bofya enter na browser itafungua page nyingine na utaweza download hiyo video kwa kuchagua moja kati ya link zitakazo jitokeza.
 
kama unatumia computer install YouTube down loader then unakuwa unacopy url kisha unapaste kwenye YTD
 
Kama unatumia computer install Internet Down loader Manager utadownload kila kituuuu
 
kwanza weka down themall addon afu pakua na kuinstail software hapo chini ni njia ile ile ya Mwl.RCT ila hii ni kuclick na kupakua basi unasebenza bila idm na hakuna cha kuongeza ss wala mm
 
Attachments

Je unatumia simu au computer?

Njia rahisi ni ku_edit url ya video husika na kuweka SS

Mfano: Unatazama video yenye hii link YouTube.........

Ili uweze download hiyo video edit sehemu ya mwanzo na iwe: ssyoutube.com/watch.........

Kisha bofya enter na browser itafungua page nyingine na utaweza download hiyo video kwa kuchagua moja kati ya link zitakazo jitokeza.

asante ndugu..mara nyingine natumia simu laptop au ipad.nitajaribu kufanya hivyo
 
kwanza weka down themall addon afu pakua na kuinstail software hapo chini ni njia ile ile ya Mwl.RCT ila hii ni kuclick na kupakua basi unasebenza bila idm na hakuna cha kuongeza ss wala mm

nashukuru SPYMATE nimeshaisave tayari ngoja nikaichek
 
Last edited by a moderator:
Mie nataka kudownload video kutoka kwenye Blog kwa simu.je inawezekana?
 
wakuu mwanzoni nilikuwa nadownload video youtube vizuri tu bila tatizo ila sasa hivi nikataka kudownload any video youtube kwa kutumia IDM ileile nayotumiaga napata message kwamba
"The server replies that you dont have permission to download this file.
Details
HTTP/1.1 403 Forbiden"

wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuendelea kudownload youtube videos via my IDM?
 
1. Fungua Youtube halafu tafuta video ambayo unataka kui download
2. Ukishaipata, select video hiyo ili ianze kucheza
3. Kabla/baada ya kuanza kucheza, copy ile "link" ya hiyo video pale kwenye "address bar"
4. Fungua tovuti hii "en.savefrom.net"
5. Ikishafunguka, kuna mahali utaelekezwa u-paste link ya video uliyo copy kule Youtube
6. Ukisha paste link mahala husika, click download, muda kidogo zitatokea options za video hiyo hasa resolution, mfano: 144p, 240p, 720p etc
7. Right click kwenye mfano hiyo 720p, select kwenye "copy link address"
8. Fungua IDM, click palipoandikwa "add URL", then OK, itatokea ile option ya download ya IDM
9. Have fun.
 
Nyongeza kidogo ilonga , Tangopori

  • Fungua youtube na Chagua video uipendayo
  • Kisha ondoa https://www. na weka 9x
  • Mfano:- 9xyoutube.com/watch?vmw1rct=rVh0v00uCU8
  • Chagua format na size ya video file,
  • IDM itadaka faili na kuanza kudownload
NB: Badala ya 9x, Pia waweza weka pwn , au ss [ss - itakupeleka savefrom.net ]
6173kxokyhi9ibvoaadl.png
 
wakuu mwanzoni nilikuwa nadownload video youtube vizuri tu bila tatizo ila sasa hivi nikataka kudownload any video youtube kwa kutumia IDM ileile nayotumiaga napata message kwamba
"The server replies that you dont have permission to download this file.
Details
HTTP/1.1 403 Forbiden"

wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuendelea kudownload youtube videos via my IDM?

Labda nikuulize unatumia Proxy servers kwenye IDM?
Kama unatumia proxy basi jua hiyo proxy hai support Youtube jaribu nyingine:cool2:
 
Download browser inaitwa torch browser...inadownload videos na torrents bola kuhitaji IDM
 
Labda nikuulize unatumia Proxy servers kwenye IDM?
Kama unatumia proxy basi jua hiyo proxy hai support Youtube jaribu nyingine:cool2:

hata sio proxy. hii imetokea hata kwangu. ila uki update idm inakuwa fresh. nadhani youtube wanachange how video is streamed. maana hata downloader zingine nilizonazo zinaiona video ila ni Kb tu...
 
Back
Top Bottom