New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
kwa ushauri wangu mkuu download app inaitwa ANT VIDEO TUBE FREE kutoka play store hii bana haijawah niangusha yani full uhakika asikudanganye mtu..Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......
Zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......

Tafta version mpya ya YTD,,au tumia IDM.
Habari wakuu, mimi huwa natumia Youtube Downloader (YTD) kwenye laptop na Tubemate kwenye simu kwa matumizi ya ku download videos on Youtube.
Hizi siku za karibuni nimekuwa nikihangaika bila mafanikio hadi zile online downloader kama Savetube.com zina fail.
Kama kuna mtu anaweza kunielewesha au kunipa alternative software/app anisaidie