Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......

Zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.
kwa ushauri wangu mkuu download app inaitwa ANT VIDEO TUBE FREE kutoka play store hii bana haijawah niangusha yani full uhakika asikudanganye mtu..
 
sasa waweza download video zote youtube bila any downloader.

fungua hiyo video yako then nenda kwenye link futa maneno ya mwanzoni yaani futa ile https://www. ukishafuta andika ss itasomeka hivi ssyoutube.com then press enter itakuja option ya kudownload chagua format uitakayo then pakua mzigo
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......

Zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.

huja specify.. unatumia kifaa gani.. Simu or Computer??
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......

Zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.

hapo hujaweka wazi unatumia computer au simu
 
Habari wakuu, mimi huwa natumia Youtube Downloader (YTD) kwenye laptop na Tubemate kwenye simu kwa matumizi ya ku download videos on Youtube.

Hizi siku za karibuni nimekuwa nikihangaika bila mafanikio hadi zile online downloader kama Savetube.com zina fail.

Kama kuna mtu anaweza kunielewesha au kunipa alternative software/app anisaidie
 
technically those video... sio zao... just check ur system coz mm huku kwenye mashine yangu na download fresh.
 
jaribu 'Clip Converter'
nenda Google utapata maelekezo
 
Why mbona nime download video kama masaa mawili yalioisha kupitia Tubemate.
 
Kuna mkuu katupia YouTube hapo juu kuhusu makonda nimedownload bila shida.
 
Kuna goma linaitwa Tubemate hilo ni balaaaa video zote linapakuaaaa
 
Youtube kila siku wanafunga njia za kudownload lakini developers wanatengeneza njia nyengine. ukiwa na idm ya 2008 huwez tumia kudownload youtube leo.

Cha muhimu hapo update software zako hakikisha una latest version ya YTD na tubemate utaona zinafanya kazi vizuri tu.
 
Natural winner.... Kwa haraka bila ya kutumia downloader yoyote click video husika itaanza kuplay kisha nenda kwenye address bar ongezea neno 'ss' mwanzoni kabla ya neno youtube kisha zitakuja options za kudownload mfano: www.youtube.com/ghhbhf wewe kazi yako ni kufuta maneno yote kabla ya youtube na kuongezea 'ss' mwanzoni ssyoutube.com/ghh
..... Goodluck!
 
Fanya hivi: chagua video unayotaka kudownload then pale juu kwenye address bar/url insert 'ss' kati ya '.' ya www na 'y' ya neno youtube then press Enter. Mfano www.youtube.com/the_universe/... Ukiinsert 'ss' itakuwa www.ssyoutube.com... Then press enter. After that itakuja another site inayoruhusu kusave free online.

Ni hivyo tu. Kwa maelezo zaidi kuna thread kuhusu hili suala nimesahau jina.
 
Hiyo site iki'load itakupa option ya kuchagua file format ya video utakayopenda kudownload na kwa uzito tofauti. Bas utachagua hapo then kama una IDM ita'act yenyewe
 
Habari wakuu, mimi huwa natumia Youtube Downloader (YTD) kwenye laptop na Tubemate kwenye simu kwa matumizi ya ku download videos on Youtube.

Hizi siku za karibuni nimekuwa nikihangaika bila mafanikio hadi zile online downloader kama Savetube.com zina fail.

Kama kuna mtu anaweza kunielewesha au kunipa alternative software/app anisaidie

Ngoja narudi kukupa shule kijana kazi ndogo tu
 
Back
Top Bottom