Waweza pia fanya manually bila software,nenda kwenye browser yako mfano operamini,fungua page ya youtube kisha tafuta video unayotaka tazama,click hio video then itakuja katika frame kubwa kuliko zinazofuata then do as follows.
nenda kwenye sehemu ya adress ya browser yako.kama inavyoonesha picha hapo chini katika sehemu yenye kuzungushiwa red lines
View attachment 234802
then futa texts zote za mwanzoni na bakiza as follows.(mfano)
https://www.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc
hizo texts nyekundu futa zote na hiyo nukta then replace kwa kuweka neno ss as follows
ssyoutube.com/watch?v=4xD0junWlFc
hata kama adress ilikuja na kuanza na text m.youtube.com/watch?v=4xD0junWlFc
hakikisha unafuta kuanzia nukta kurudi nyuma na replace suffix ss.
utafunguaka mtandao mwingine unaitwa savefrom.net hapo utakuta video yako,upande wa kushoto utaona vide yako upande wa kulia utaona format za video,
kisha utachagua unataka ku-download video katika format ipi labda 360p,720p,3gp n.k inategemea unataka quality kiasi gani labda mp4 au 3gp.
View attachment 234806
View attachment 234807
hapo juu palipo na red lines unachagua files na penye blue lines ndio kuna video yako
kisha utapress kwenye either 360p au nyinginezo na kuanza download,pia kama ni simu ni vizuri kumalizia kwa kutumia download manager ili kudownload faster.
same procedure hata kwenye computer na si lazima utumie operamini,hata built in browser inaweza tumika.