Habari za jumapili wataalam, naomba msaada namna ya kudownloa videos za YouTube kwenye simu yangu ya Android.
Natanguliza Shukrani nyingi
Wakuu ukiachana na idm na youtube downloader ni ipi program nyingine ya kudownload ambayo iko fasta na ya uhakika. Msaada tafadhari.
http://www.eagleget.com/download/
EagleGet
Free universal download accelerator. Supports HTTP, HTTPS, FTP, MMS and RTSP protocol. EagleGet uses multi-threaded technology to accelerate downloads. You can download video, music, documents, applications in Chrome, IE, and Firefox with single click.
Support YouTube, Facebook, Dailymotion, as well as many other web videos. Resume broken downloads and save your time.
The well-designed interface and task manager will help you do more with doing less, maximize your productivity. EagleGet is completely free without any additional conditions.
Habari zenu wakuu..
Naomba mwenye ujuzi au maufundi ya jinsi ya kudownload video kuleee youtube anipe
mana google nasikia waameblock ile njia ya kuandika(ssyoutube.com) na nimejaribu jna nimeshindwa msaada wenu tafadhari[/QUOTE
Nenda www.dvdvideosoft.com
Download software ya youtube downloader
Bila shaka ni kupitia simu.
Kama unatumia smartphone google app inaitwa tubemate kisha dawnload utapakuwa youtube video vizuri tu. Hakikisha hiyo tubemate ni original maana zipo fake nyingi tu.
Kama huna smartphone basi tumua tubidy lkn si video zote utazipata na hazina ubora (quality) vzr