download na install Internet downloader manager(IDM),ni nzuri mno/sana!!
Download application inaitwa Videoder.Hii haina usumbufu,yaani sio ngumu kuitumia.Unachagua video au Wimbo unaoupenda una download una save.
wana jamvi ni shida kabisa ya kudownlod miziki kutoka you tube na kuisave kwenye pc yangu , yeyote anayejua naomba anisaidie........................hata kama kuna njia mbala naomba munijari tafadhari.
mm naweza ila kwa ela maana hivi vitu ni sectret kama uko tayari nichek PM
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua jinsi ya kudownload video youtube nikiwa na iPHone 4
Msaada tafadhali
Nitumie program gani au nifanyaje?

Tumia tubemate. we andika free download tubemate kwenye google na uaipata. ni nzuri sn. ukishaidownload, install kwenye cm then fungua. ukitaka ingia youtube uwe unaingia kupitia hiyo app baada ya kuinstall. ukiclick video yyt kitatokea kimshale cha blue utakibonyeza ili kudownload hiyo video. very simple app. ila download vitu vya maana tu. enjoy
iPhone kuna tube mate?