Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Njia nyingine rahisi ni kama ifuatavyo:

Ukishafungua video yako kwenye you-tube, pale kwenye address kunatokea hivi mfano

- https://www.youtube.com/watch?v=BOM6kQ1f1H0

Kinachofuatia, pale pale juu kwenye address futa haya maandishi ya mwanzo https://www. kisha weka ss mahala pake, ili iwe kama hivi

- ssyoutube.com/watch?v=BOM6kQ1f1H0

Then click enter na fuata malekezo mengine ya mwisho mwisho.
 
Ingia google search andika mabango application,then ikifunguka tafuta tubemate,utaniambiaa ni nowmaaaaa
 
Download application inaitwa Videoder.Hii haina usumbufu,yaani sio ngumu kuitumia.Unachagua video au Wimbo unaoupenda una download una save.
 
Download application inaitwa Videoder.Hii haina usumbufu,yaani sio ngumu kuitumia.Unachagua video au Wimbo unaoupenda una download una save.

Videoder ni ya ukweli. Lkn wameiondoa kwenye play store unaweza kuidownload kupitia browser yeyote kama vile operamin. Au ukaingia google
 
wana jamvi ni shida kabisa ya kudownlod miziki kutoka you tube na kuisave kwenye pc yangu , yeyote anayejua naomba anisaidie........................hata kama kuna njia mbala naomba munijari tafadhari.

Njia simple kwa PC unaweza ingia YouTube kwenye hio video then ukacopy hio URL yake then kuna website youtube-mp3.com unaingia hapo then unapaste .....baada ya hapo video itakuwa converted to mp3 kisha bofya download
 
mm naweza ila kwa ela maana hivi vitu ni sectret kama uko tayari nichek PM
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua jinsi ya kudownload video youtube nikiwa na iPHone 4
Msaada tafadhali
Nitumie program gani au nifanyaje?

Nenda kaifungue hiyo video husika.ikishafunguka copy ile link yake pale juu (URL).
Kisha fungua www.keepvid.com ikifynguka kuna sehemu ya kudownload hapo uta paste ile link alafu utadownload na kuisave.ndani ya dk 3 umemaliza. sina haja ya hela yako.
Jaribu kisha lete mrejesho.
Wengine nao watakupa njia nyingine.
Asante
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua jinsi ya kudownload video youtube nikiwa na iPHone 4
Msaada tafadhali
Nitumie program gani au nifanyaje?

Ni kwamba utaweza ukiwa unatumia third part app ila kwa systems za iphone huwezi kudownload na kuwa saved ndani ya simu.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua jinsi ya kudownload video youtube nikiwa na iPHone 4
Msaada tafadhali
Nitumie program gani au nifanyaje?

Tumia tubemate toka http://tubematedownload.org/
 
Tumia tubemate. we andika free download tubemate kwenye google na uaipata. ni nzuri sn. ukishaidownload, install kwenye cm then fungua. ukitaka ingia youtube uwe unaingia kupitia hiyo app baada ya kuinstall. ukiclick video yyt kitatokea kimshale cha blue utakibonyeza ili kudownload hiyo video. very simple app. ila download vitu vya maana tu. enjoy
 
Au tumia hii web simple and clear www.wapistan.info
Hatuna haja ya malipo.
 
Tumia tubemate. we andika free download tubemate kwenye google na uaipata. ni nzuri sn. ukishaidownload, install kwenye cm then fungua. ukitaka ingia youtube uwe unaingia kupitia hiyo app baada ya kuinstall. ukiclick video yyt kitatokea kimshale cha blue utakibonyeza ili kudownload hiyo video. very simple app. ila download vitu vya maana tu. enjoy

iPhone kuna tube mate?
 
iPhone kuna tube mate?

Sidhani kama iko supported na iOS, nadhani android ndo wanakubali third part apps, ndo maana ukiidownload tubemate simu inakuomba uiruhusu ku install from unknown sources.
 
Back
Top Bottom