KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 775
Huyo mtu mwenye hiyo PC ulikoona hukumuuliza? Au ni bosi?Habari wana jf.
Naomba kuelekezwa namna ya kupakua video za youtube bila kukopi URL yake.Nimeona kwenye PC ya mtu akifungua video ya youtube zinatokea alama (mishale) za kudownload video husika juu-kulia kwa page ya PC.Akitaka kudownload alikua anaclick mshale huo na video hupakuliwa kwa kasi.Naomba kuelekezwa maana jamaa kakataa kunielekeza namna ya kuweka option ya kudownload.
alimuuliza amekataa kumuelekeza soma vzrHuyo mtu mwenye hiyo PC ulikoona hukumuuliza? Au ni bosi?
ahsante nduguDownload/tumia application kama *Tubemate au *Videorder, zote hizo zinakupa option ya ku-download videos kutoka kwenye sites kama youtube na kwingine...
Mie nataka tu kujua kwanini huyo jamaa kakataa kukuelekeza?
ahsante ndugu
sawa mkuuMimi natumia program inaitwa TUBEMATE nimedownload google
Jamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
Sure,Tubemate ndio best hata kwangu.TUBEMATE
Videorder appJamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
Unatumia simu aina gani...Galaxy Note 7 yakulipuka au..!?Jamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
Jamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
Jamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
Hii ni nzuri sn mkuu nadhani ndyo niitumiayo ni kufuta kwenye link www. na kuweka hizo ss thn una enter mzigo unajidownload is very fast