Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Suluhisho hapo ni IDM (Internet Download Manager)
Then unainstall plugin kwenye browser. IDM inauzwa, but pia zipo cracked one. Kwa msaada zaid ni DM
 
Habari zenu wakuu? Naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa wa app yeyote ambayo inaweza kunisaidia kudownload videos kwenye youtube. Nb app kutoka apple store.
 
mods naomba mnisaidie kunirekebishia tittle
 
App yakueleweka na easy to use ni vidmate vut haiko kwa play store ni kwenye google.
 
Download kwa Ku add ss baada ya kufuta www. Yaani.. Ukitaka kuangalia video, ile link ya video I edit kwa kufuta http.www. na ianze na ssyoutube.com/......... Desh desh no mundekezo wa hyo link ya kuiangalia video husika
 
shukrani mkuu ngoja nijaribu ntakupeni mrejesho
 
Download kwa Ku add ss baada ya kufuta www. Yaani.. Ukitaka kuangalia video, ile link ya video I edit kwa kufuta http.www. na ianze na ssyoutube.com/......... Desh desh no mundekezo wa hyo link ya kuiangalia video husika
Mkuu nimejaribu, ila majibu nayopewa ni haya "this site cant be reached" sasa sielewi tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…