Tafuta kitu inaitwa 'Youtube downloader' then install it kwenye computer yako. Copy url ya video unayotaka kisha fungua youtube downloader yako, paste url hiyo kwenye kisanduku mahali pameandikwa video url then click download (chini kabisa kulia kwenye hiyo youtube downloader. Subiri ikimaliza kushusha itakuambia 'download is complete', bofya hapo kwenye 'ok'.
Kuona video yako fanya hivi: Angalia twenye youtube downloader yako mahali ambapo pameandikwa 'open' kisha bofya. 'Open' ipo juu ya hapo palipoandikwa 'download' upande wa kulia chini.