Nakusaidia tu, lakini roho inaniuma kukusaidia mtu kama wewe.Hivi unawezaje kudownload video YouTube na kusave kwenye flash disk?
Msaada please.
Msaada Ni msaada tu hata uutoe kea shingo upande na Roho ikikuuma. Thanks kwa msaada wakoNakusaidia tu, lakini roho inaniuma kukusaidia mtu kama wewe.
Anyway, Insert "pp" after the word "youtube" in the link to download videos and mp3 files from YouTube as a faster way
Mkuu nimeshapata jibu
YouTube wao hawaruhusu ila hawana shida na third party kudownload zile YouTube video ambazo wenyewe wameruhusu kuwa downloaded . ingia YouTube downloader yeyote ambayo sio Mali ya YouTube itumie hiyo ku download .Ziko kibao .una download bila shida
Hii ndio natumia pia ila kuna app inaitwa SAVE FROM THE NET ndo inaambatana na hii njia ni rahisi mno.kudownload YouTube video bila app,
cheza iyo video unayotaka kudownload halafu nenda juu kwenye address bar anza na ssyoutube.com........
kisha reload iyo page au enter... itafungua page nyingine ambayo kutakuwa na option ya kudownload
Hivi unawezaje kudownload video YouTube na kusave kwenye flash disk?
Msaada please.
Fastest online you tube video downloader www.savefromnet.comHabari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa
Ninasubiri msaada wenu,asante
fata hatua hizi,nenda kwenye video husika,bofya kitufe cha "share" halafu "copy" then nenda moja kwa moja kweny google chrome search kitu inaitwa "savefrom.net" ikifunguka paste copy yako ya link from youtube mengine yatajieleza yenyeweHabari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa
Ninasubiri msaada wenu,asante
mkuu kuna baadhi ya videos inagoma
Install 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux tumia, ikianza kuzingua ( mara nyingi huwa wanataka ukitumia muda mrefu upgrade to Premium ) Uninstall Download Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for Android and PC . EnjoyHabari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa
Ninasubiri msaada wenu,asante
Habari wana jamii forums,
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa.
Ninasubiri msaada wenu.
Asante.