Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Hivi unawezaje kudownload video YouTube na kusave kwenye flash disk?
Msaada please.
Nakusaidia tu, lakini roho inaniuma kukusaidia mtu kama wewe.
Anyway, Insert "pp" after the word "youtube" in the link to download videos and mp3 files from YouTube as a faster way
 
Nakusaidia tu, lakini roho inaniuma kukusaidia mtu kama wewe.
Anyway, Insert "pp" after the word "youtube" in the link to download videos and mp3 files from YouTube as a faster way
Msaada Ni msaada tu hata uutoe kea shingo upande na Roho ikikuuma. Thanks kwa msaada wako
 
Unaweza kutafuta Internet Download Manager (IDM) pia. Hiyo inafanya kazi mara baada ya kufungua video husika.
Mkuu nimeshapata jibu
YouTube wao hawaruhusu ila hawana shida na third party kudownload zile YouTube video ambazo wenyewe wameruhusu kuwa downloaded . ingia YouTube downloader yeyote ambayo sio Mali ya YouTube itumie hiyo ku download .Ziko kibao .una download bila shida
 
Kudownload YouTube video bila app,

Cheza iyo video unayotaka kudownload halafu nenda juu kwenye address bar anza na ssyoutube.com

Kisha reload iyo page au enter, itafungua page nyingine ambayo kutakuwa na option ya kudownload.
 
kudownload YouTube video bila app,

cheza iyo video unayotaka kudownload halafu nenda juu kwenye address bar anza na ssyoutube.com........

kisha reload iyo page au enter... itafungua page nyingine ambayo kutakuwa na option ya kudownload
Hii ndio natumia pia ila kuna app inaitwa SAVE FROM THE NET ndo inaambatana na hii njia ni rahisi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamii forums,

Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye Youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na Youtube downloader na IDM, program gani zingine ninaomba kujulishwa.

Ninasubiri msaada wenu.

Asante.
 
Youtube Mp4, hizi huitaji kudownload unaweza kusearch google ukatumia browser yako kudownload videos.
 
Habari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa
Ninasubiri msaada wenu,asante
fata hatua hizi,nenda kwenye video husika,bofya kitufe cha "share" halafu "copy" then nenda moja kwa moja kweny google chrome search kitu inaitwa "savefrom.net" ikifunguka paste copy yako ya link from youtube mengine yatajieleza yenyewe
Screenshot_20200214-195528.png
 
Habari wana jamii forums
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa
Ninasubiri msaada wenu,asante
Install 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux tumia, ikianza kuzingua ( mara nyingi huwa wanataka ukitumia muda mrefu upgrade to Premium ) Uninstall Download Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for Android and PC . Enjoy

Very quality videos !
 
Vide order mkuu mbona unapata ubuyu wote?. Install hiyo upige kazi. Inadaunload video, MP3 na MP4 audio at once ila unacomand unayotaka.
 
Mkuu samahani nina shida ya kuwasiliana na wewe nimejaribu kukucheki pm naona ujumbe haufanikiwi kutoka. Samahani mkuu kama hutojali nijulishe ni njia ipi tutumie kuwasiliana. Ahsante sana
Habari wana jamii forums,

Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na youtube downloader na IDM,program gani zingine ninaomba kujulishwa.

Ninasubiri msaada wenu.

Asante.
 
Back
Top Bottom