Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Nadhani mkuu kwa x2-01 njia ni hiyo aliekupa mkuu hapo juu hatua
1. Fungua youtube then tafutavideo unayo taka kuidownlod
2.fungua ile video uwe kama unataka kuiplaya online.( ila usi iplay)
3. Angalia kwenye browser yako hapo juu itaona imekaa web ya hiyo nyimbo mfano. Shilole Ft AT - Dume Dada - YouTube
4. Copy kwanza hiyo link yote
5.ukimaliza ku copy hiyo link ifungue na kui edit kwa kuanza na ss. Mfano. ssyoutube.com/watch?v=P9EMli_JKaY&ctp=CBoQpDAYCyITCOfnxuCq4b8CFcSyywodjjUABVIHU2hpbG9sZQ%3D%3D
6. Search hiyo link itafunguka web tofauti na youtube then kuna sehemu uta Paste ile link uliyo copy mara ya kwanza halafu bofya downlod. Zitakuja format tofauti kama mp4 nk. Chagua moja wapo kulingana ni uwezo wa simu yako, itaanza kudownload.
Samahan kama maelekezo yamekuwa marefu.
 
haya wakuu thanx alot kwa tution ngoja nianze practical sasa ntarudi baada ya muda kutoa mrejesho
 
Nadhani mkuu kwa x2-01 njia ni hiyo aliekupa mkuu hapo juu hatua
1. Fungua youtube then tafutavideo unayo taka kuidownlod
2.fungua ile video uwe kama unataka kuiplaya online.( ila usi iplay)
3. Angalia kwenye browser yako hapo juu itaona imekaa web ya hiyo nyimbo mfano. Shilole Ft AT - Dume Dada - YouTube
4. Copy kwanza hiyo link yote
5.ukimaliza ku copy hiyo link ifungue na kui edit kwa kuanza na ss. Mfano. ssyoutube.com/watch?v=P9EMli_JKaY&ctp=CBoQpDAYCyITCOfnxuCq4b8CFcSyywodjjUABVIHU2hpbG9sZQ%3D%3D
6. Search hiyo link itafunguka web tofauti na youtube then kuna sehemu uta Paste ile link uliyo copy mara ya kwanza halafu bofya downlod. Zitakuja format tofauti kama mp4 nk. Chagua moja wapo kulingana ni uwezo wa simu yako, itaanza kudownload.
Samahan kama maelekezo yamekuwa marefu.
Aloo kwa sisi tunaopenda ile kopy na paste haya maelezo ni magumu ngoj tujarb mna hata mm tati ni hlo hlo
 
Kwanini upate matabu sijui.ya kucopy kupaste.Dawa ya matatizo download tubemate you tube downloader.Hii inafungua youtube yenyewe na unaanza kuidownload hapo hapo hakuna kuzunguka zunguka.Unajua hata kwenye mtandaoa kuna link nyingine zina urasimu utazungushwa zungushwa we .Pata kitu tubemate utafurahii mwenyewe ila haipatikani playstore.
 
usikimbilie ku comment tu pasipo kujua shida ya mtoa mada.
Hiyo simu anayozungumzia mtoa mada si android.
Labda kabla ya kumshauri kudownload hiyo tubemate nk... Ungemshauri kwanza anunue simu ya android.
 
by inspectorbenja;
Kwanini upate matabu sijui.ya kucopy kupaste.Dawa ya matatizo download tubemate you tube downloader.Hii inafungua youtube yenyewe na unaanza kuidownload hapo hapo hakuna kuzunguka zunguka.Unajua hata kwenye mtandaoa kuna link nyingine zina urasimu utazungushwa zungushwa we .Pata kitu tubemate utafurahii mwenyewe ila haipatikani playstore

Mkuu inspectorbenja, hii tube mate inapatikana wap?
 
Last edited by a moderator:

Kumbuka simu ni x2-01
 
Last edited by a moderator:
Tunafurahi kusikia hizo habari. Ila jitahidi uhame huko kwenye analogia mkuu.
 
usikimbilie ku comment tu pasipo kujua shida ya mtoa mada.
Hiyo simu anayozungumzia mtoa mada si android.
Labda kabla ya kumshauri kudownload hiyo tubemate nk... Ungemshauri kwanza anunue simu ya android.

kuna kitu nimejifunza hapa kuwa aina ya cm niliyonayo haikidhi viwango. Yani nataka mambo makubwa kuliko uwezo wangu. Acha ni make ntaute android. Hebu nambieni simu aina gani ndo kiboko ya hii kitu
 
Wakuu nahitaj kufahamu kuwa je naweza kudownload video YouTube kwa kutumia internet downloading manager?na kama kuna njia nyingine ya kudownload YouTube videos naomba nifahamishwe.
 
Back
Top Bottom